Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Italian Serie A
Matchday 16
SSC Napoli vs Atalanta BC
Estadio Diego Armando Maradona
Naples, Italy
Saturday, 4 December 2021
Kick-off is at 22h45
SSC Napoli itakuwa mwenyeji wa Atalanta BC uwanjani Estadio Diego Armando Maradona katika
mechi ya ligi Disemba 4.
Tangu mwaka 1993, hii itakuwa ni mara ya 47 timu hizi kukutana katika mechi za ligi.
Napoli na Atalanta wameshinda mechi kumi na sita kati ya hizo 47 huku mechi 14 wakigawana alama.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Atalanta alikuwa mshindi wa mechi ya mwisho timu hizo zilipokutana katika mechi ya ligi mnamo Februari 21 2021.
Atalanta walikuwa uwanja wa nyumbani, Gewis Stadium, waliposhinda Napoli kwa 4-2 katika mechi hiyo.
Katika mechi ya mwisho wakiwa nyumbani, Napoli iliwalima SS Lazio 4-0 tarehe 28 Novemba kwenye mechi ya ligi.
Ushindi huo ulifikisha kikomo msururu wa mechi mbili bila ushindi kwa Napoli wakiwa nyumbani baada ya kushindwa mara moja na kupata sare moja.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Wakati huo huo, Atalanta wakiwa ugenini waliandikisha ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Juventus kwenye mechi iliyochezwa Novemba 27.
Ushindi huo ulikuwa ni mwendelezo wa matokeo mazuri ya Atalanta katika mechi za ligi ikiwa ni mechi 13 bila kushindwa. Kati ya mechi hizo 13, wameshinda mechi kumi na kupata sare mechi tatu.
“Ushindi huu ni zawadi kwa kila mmoja. Ushindi wa mwisho wa Atalanta hapa ilikuwa mwaka 1989. Ushindi huu haukuja kirahisi. Tulipambana kweli kweli,” alisema Gian Piero Gasperini, meneja wa Atalanta baada ya ushindi huo dhidi ya Juventus.
“Tulianza msimu vizuri lakini tukapoteza alama nyumbani kutokana na sababu nje ya uwezo wetu kama vile majeraha. Tulikuwa katika hali tete baada ya wachezaji muhimu kupata majeraha.
"Hata hivyo, wachezaji wapya wameingiliana vizuri na timu. Haya ni mambo ya kawaida kwenye timu nyingi. Tumekuwa na matokeo mseto katika mechi tofauti lakini kwa ujumla tumeonyesha mchezo mzuri.”
Takwimu baina ya timu hizi katika mechi tano za mwisho za ligi
Mechi - 5
Napoli - 1
Atalanta - 3
Sare - 1
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.