Football

Atletico na Man United kukutana katika mechi rasmi

21/02/2022 14:25:25
Atletico Madrid watakuwa mwenyeji wa Manchester United katika mechi ya mkondo wa kwanza wa mechi za UEFA raundi ya kumi na sita Februari 23. 

Citizens kupiga hatua zaidi kuelekea ubingwa

16/02/2022 14:56:34
Manchester City wataialika Tottenham ugani Etihad Stadium katika mechi ya ligi Februari 19 huku wakipania kutetea ubingwa wa ligi.

Juventus na Torino kuchuana katika mechi ya debi

16/02/2022 14:42:23
Juventus FC watakuwa mwenyeji wa Torino ugani Allianz Stadium katika mechi ya ligi mnamo Februari 18.
 

Valencia wapania kuzima kasi ya Barcelona.

16/02/2022 14:14:41
Valencia CF na FC Barcelona watachuana vikali katika mechi ya ligi, Uhispania Februari 20 ugani Estadio de Mestalla.

Inter wapanga kuuzima moto wa Liverpool

14/02/2022 11:50:01
Inter Milan na Liverpool watamenyana katika mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya 16 mnamo Februari 16.
 

Napoli kutoana kijasho na Inter

09/02/2022 14:26:28
SSC Napoli watakuwa mwenyeji wa Inter Milan ugani Stadio Diego Armando Maradona katika mechi ya ligi Februari 12.
 

Red Devils kuendeleza ubabe wao dhidi ya the Saints

09/02/2022 14:15:27
Manchester United watanuia kuendeleza ubabe wao dhidi ya Southampton watakapokutana katika mechi ya ligi ugani Old Trafford Jumamosi Februari 12.
 

Villarreal wapania kuzima moto wa Madrid

09/02/2022 13:58:26
Villarreal CF atakuwa mwenyeji wa Real Madrid ugani Estadio de la Cerámica Februari 12 katika mechi ya ligi.
 

Senegal wapania taji la AFCON kwa mara ya kwanza dhid ya Misri

04/02/2022 13:59:15
Senegal na Misri watapambana katika mechi kali ya fainali kusaka mshindi wa taji la AFCON 2021 katika uwanja wa Omnisport Paul Biya Februari 6. 

Inter Milan na AC Milan kumenyana katika debi

03/02/2022 14:44:45
AC Milan wanapania ushindi dhidi ya Inter milan watakapokutana katika debi ya della Madonnina ugani San Siro Jumamosi Februari 5, ambao utakuwa ni mchezo wa 230 baina ya timu hizi mbili.