Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Spanish La Liga
Matchday 24
Villarreal CF v Real Madrid
Estadio de la Cerámica
Villarreal, Spain
Saturday, 12 February 2022
Kick-off is at 18h15
Villarreal CF atakuwa mwenyeji wa Real Madrid ugani Estadio de la Cerámica Februari 12 katika
mechi ya ligi.
Katika mechi iliyochezwa Februari 6, Villarreal walipata ushindi wa 2-0 ugenini dhidi Real Betis katika mechi ya ligi iliyopita.
Villarreal hawajapoteza mechi ya ligi katika michezo miwili iliyopita. Wameshinda mechi zote mbili.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Vile vile, The Yellow Submarine hawajashindwa katika mechi tano wakiwa nyumbani huku wakiandikisha ushindi mara nne na kupata sare moja ugani Estadio de la Cerámica.
Kwa upande mwingine, Madrid walipata ushindi wa 1-0 dhidi ya Granada wakiwa nyumbani katika mechi iliyochezwa Februari 6.
Madrid hawajashindwa katika mechi mbili za ligi zilizopita huku wakiandikisha sare mara moja na kushinda mechi moja.
Kabla ya kuishinda Granada, Madrid walikuwa wamepoteza dhidi ya Getafe hapo awali na kukatiza msururu wa mechi 5 bila kushindwa ugenini.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Ni habari nzuri kwa sababu tulipata alama tat una hii ni kutokana na kucheza vizuri kipindi cha pili,” alisema Carlo Ancelotti baada ya ushindi dhidi ya Granada.
"Kwa ujumla timu nzima ilicheza vizuri inawaje hatupo katika ubora wetu kwa sasa. Tuna mapumziko ya wiki moja na yatasaidia wachezaji majeraha kupona na itakuwa vizuri sana.
"Ilikuwa mechi muhimu. Ni furaha kuona wachezaji walivyojituma.”
Mara ya mwisho timu hizi zilikutana Septemba 25 2021 katika mechi ya ligi.
Mechi hiyo iliyochezewa Estadio Santiago Bernabeu, Madrid iliishia kwa sare ya 0-0.
Matokeo ya mechi 5 za mwisho za ligi baina ya timu hizi
Mechi - 5
Villarreal - 0
Madrid - 3
Sare - 2
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.