Football

Reds na Spurs kung’ang’ania alama muhimu

06/05/2022 14:04:00
Liverpool wanapania kuwashinikiza Manchester City watakapoalika Tottenham ugani Anfiled kwenye mechi ya ligi mnamo Mei 7.
 

Atletico na Real kwenye debi ya El Derbi Madrileno

06/05/2022 13:54:16
Atletico Madrid watawaalika mahasidi wao wa jadi Real Madrid ugani Estadio Wanda Metropolitano katika mechi ya ligi mnamo Mei 8.
 

Madrid revanchard contre Man City

03/05/2022 16:28:16
Real Madrid watakuwa mwenyeji wa Manchester City katika mechi ya UEFA mkondo wa pili hawamu ya nusu fainali mnamo Mei 4.
 

Madrid wapania kisasi dhidi ya Espanyol

26/04/2022 18:48:35
Real Madrid wataialika RCD Espanyol katika mechi ya ligi ugani Estadio Santiago Bernabéu Aprili 30.
 

Reds wapania kuwazamisha Magpies

26/04/2022 18:36:22
Liverpool watapania kuwashinikiza zaidi Manchester City kwa ushindi dhidi ya Newcastle ugani St James' Park Jumamosi ya tarehe 30 Aprili.

Milan kuikaribisha Fiorentina

26/04/2022 18:19:44
AC Milan watakuwa wenyeji wa ACF Fiorentina kwenye mechi ya ligi kuu ya Italia ugani Stadio Giuseppe Meazza Mei 1.

Madrid wapania kuibwaga Man City

25/04/2022 14:08:14
Real Madrid atakuwa mgeni wa Manchester City kwenye mechi ya nusu fainali mkondo wa kwanza, UEFA, Aprili 26 ugani Etihad.

Red Devils wanatzamia ushindi mara mbili dhidi ya Gunners

20/04/2022 15:49:44
Manchester United wanapania kupata ushindi wa pili wa msimu katika ligi dhidi ya Arsenal watakapokutana Aprili 23 ugani Emirates Stadium, Jumamosi.
 

Inter kumenyana na Roma kwenye mchezo wa ligi

20/04/2022 15:37:27
Inter Milan watamwalika AS Roma ugani Stadio Giuseppe Meazza  Aprili 23 katika mechi ya ligi kuu nchini Italia.
 

Sociedad kuwakabili Barcelona

19/04/2022 15:18:37
Real Sociedad wanapania kukatisha msururu wa matokeo mazuri ya Barcelona watakapokutana kwenye mechi ya ligi mnamo Aprili 21 ugani Reale Arena.