Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 Spanish La Liga
Matchday 3
Barcelona v Real Valladolid
Camp Nou
Barcelona, Spain
Sunday, 28 August 2022
Kick-off is at 20h30
Barcelona watakaribisha timu ya Real Valladolid Camp Nou kwa ajili ya
mechi ya ligi Agosti 28 Jumapili huku wakiendelea kuwafukuzia wanaoongoza ligi.
The Blaugrana wanashikilia nafasi ya tano kwenye ligi alama mbili nyuma ya viongozi baada ya kupata ushindi mnono dhidi ya Real Sociedad ugani Reale Arena kwenye mechi ya mwisho ya ligi.
Vijana wa Xavi walipoteza alama mbili kwenye mechi ya kwanza ya msimu walipotoka sare ya 0-0 na Rayo Vallecano mjini Barcelona.
Sajili mpya Robert Lewandowski alifunga magoli mawili dhidi ya Sociedad huku Ousmane Dembele na Ansu Fati wakifunga goli moja kila mmoja.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Xavi alimsifia mshambuliaji mpya Lewandowski huku akikiri kuwa mabadiliko ya mfumo katika kipindi cha pili yalizaa matunda baada ya kuwa na wakati mgumu kwenye dakika za kwanza 45.
"Mechi hii haikuwa rahisi. Sio rahisi kupata matokeo mazuri katika uwanja huu,” alisema. “Tunakuwa na mchezo mzuri tunapocheza kwa utulivu kama tulivyofanya katika kipindi cha pili. Hatukuwa na utulivu huo kipindi cha kwanza.
Kileleni mwa msimamo na nafasi ya kushinda zawadi bab-kubwa
Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.
"Wakati wa mapumziko tulizungumzia jinsi ya kuashambulia nafasi zinazoachwa wazi na wapinzani. Ushindi huu ulitufaa. Kuna kubwa ya kuimarika lakini kwa sasa nimefurahishwa na hatua tulizopiga.
"Wao hutumia washambuliaji wawili. Tulibadilisha mfumo wetu kwa sababu haikuwa na maana kutumia washambuliaji wanne. Watatu peke yake walikuwa wanatosha pamoja na wachezaji wa pembeni na viungo wawili wa kati.
"Tuna washambuliaji si haba wazuri; Robert, Ansu, Raphinha, Ousmane na Ferran Torres, iliyeonyesha mchezo mzuri. Robert alicheza vizuri sana leo n ani furaha kubwa kuwa naye kwenye timu hii.”
The Pucelanos, kama inavyojulikana timu ya Valladolid walipata alama ya kwanza ya msimu huu kwa kupata sare ya 1-1 dhidi ya Sevilla ugani Estadio Ramon Sanchez Pizjuan.
Hii ilikuwa baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa msimu 3-0 wakiwa nyumbani dhidi ya Villarreal.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Kocha wa Valladolid, Pacheta alielezea furaha yake kwa wachezaji wake kwa uchezaji mzuri walioonyesha dhidi ya Palanganas na kuwapa wakati mgumu kipindi cha kwanza.
"Juhudi zetu zimeonekana wazi. Tumekabiliana na mpinzani mahiri aliyekuwa na kasi ambayo hatujazoea,” alisema Pacheta.
"Hatujapata matokeo ambayo tunahitaji kwa sasa. Tunajivunia uchezaji wetu huku tukiwachaza mechi inayofuata. Sevilla walikuwa na mchezo mzuri kipindi cha kwanza na tulihitaji kujitetea dhidi yao.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za ligi
Mechi - 5
Barcelona - 5
Valladolid - 0
Sare - 5
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.