Juventus kukabiliana na Roma katika mechi wa Serie A


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 Italian Serie A

Matchday 3

Juventus FC v AS Roma  

Allianz Stadium
Torino, Italy 
Saturday, 27 August 2022
Kick-off is at 19h30  
 
Juventus FC watakuwa mwenyeji wa AS Roma kwenye mechi ya ligi ya Serie A ugani Allianz Stadium mnamo Agosti 27.
 
The Old Lady, kama ijulikanavyo Juventus waliibuka na ushindi wa 3-0 wakiwa nyumbani dhidi ya US Sassuolo katika mechi yao ya mwisho ya ligi ambayo ilichezwa Agosti 15. Agosti 22 watakuwa ugenini dhidi ya UC Sampdoria.
 
Ushindi dhidi ya Sassuolo ulifikisha kikomo mechi tatu za ligi bila kushinda kwa timu ya Juventus kwani walikuwa wameandikisha sare moja na kushindwa mara mbili.

Federico Chiesa
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Wakiwa nyumbani, Juventus hawajashindwa katika mechi nne za mwisho za ligi huku wakiandikisha sare mbili na kupata ushindi kwenye mechi mbili.
 
Kwengineko, Roma wakiwa ugenini walipata ushindi wa 1-0 dhidi ya US Salernitana katika mechi yao ya mwisho ya ligi ambayo ilichezwa Agosti 14 huku wakitarajiwa kuwa wenyeji wa US Cremonese Agosti 22 kwenye mchezo wa ligi kuu Italia.
 

Kileleni mwa msimamo na nafasi ya kushinda zawadi bab-kubwa

Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.

Chomoka na Odds
 
Roma hawajapoteza mchezo wowote wa ligi katika mechi tatu zilizopita baada ya kupata sare moja na ushindi mara mbili mfululizo.
 
Vile vile, Roma hawajapoteza mchezo wowote wa ligi katika mechi mbili za mwisho walizocheza ugenini baada ya kuandikisha ushindi mara mbili mfululizo.

Jose Mourinho - Roma manager
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
“Siwachukulii Cremonese kama timu iliyopandishwa daraja juzi tu,” alisema meneja wa Roma Jose Mourinho.
 
"Hii ni kwa sababu wanaonyesha mchezo wa kiwango cha juu. Wanafahamu mbinu zao vizuri na wanaelewa jinsi ya kuharibu mtiririko wa timu pinzani.
 
"Wana wachezaji wazuri sana na wametumia fedha kiasi cha haja kusajili wachezaji zaidi. Kwa mfano, wachezaji wao wawili wa safu ya ushambuliaji wameonyesha kuwa wana uwezo mkubwa. pongezi kwa kazi nzuri iliyofanywa na kocha wao.”
 
Mchezo wa mwisho wa ligi baina ya Juventus na Roma ulikuwa Januari 9 2022.
 
Juventus waliibuka na ushindi wa 4-3 dhidi ya Roma katika mechi ya kusisimua iliyochezewa ugani Stadio Olimpico. 
 

Tawkimu baina ya timu hizi, mechi tano za ligi zilizopita

Mechi - 5
Juventus - 3
Roma - 1
Sare - 1
 

Ratiba ya mechi za Serie A mchezo wa tatu 


Agosti 26 Ijumaa
 
19h30 - AC Monza v Udinese Calcio  
 
21h45 - SS Lazio v Inter Milan
 
Agosti 27 Jumamosi
 
7:30pm - US Cremonese v Torino FC 
 
7:30pm - Juventus FC v AS Roma 
 
9:45pm- AC Milan v Bologna FC 
 
9:45pm - Spezia Calcio v US Sassoulo 
 
Agosti 28 Jumapili
 
4:30pm - Hellas Verona v Atalanta BC 
 
7:30pm - US Salernitana v UC Sampdoria 
 
9:45pm - ACF Fiorentina v SSC Napoli
 
9:45pm - US Lecce v Empoli 


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway. 
 
 

Published: 08/26/2022