Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 Italian Serie A
Matchday 2
Inter Milan v Spezia Calcio
Stadio Giuseppe Meazza
Milano, Italy
Saturday, 20 August 2022
Kick-off is at 21h45
Inter Milan itakuwa mwenyeji wa Spezia Calciao katika mechi ya
Serie A ugani Stadio Giuseppe Meazza Agosti 20.
The Big Grass Snake, ambao ni Inter Milan wakiwa ugenini walipata ushindi wa 2-1 dhidi ya US Lecce katika mechi iliyopita ya Agosti 13.
Inter hawajapoteza mechi yoyote ya ligi katika mechi tano zilizopita huku wakiandikisha ushindi mara tano mfululizo.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Vile vile, Inter hawajapoteza mechi yoyote katika mechi sita za ligi za mwisho walizocheza nyumbani huku wakipata sare moja na ushindi mara tano ugani Stadio Giuseppe Meazza.
"Nimefurahi sana kupata goli lakini muhimu zaidi ni ushindi wa timu. Tulicheza vizuri leo. Nimefurahia mchango wangu kwa timu,” Denzel Dumfries alisema baada ya kuishinda Lecce.
"Najihisi vizuri kiafya. Nahisi idadi yangu ya magoli msimu huu itaongezeka ukilinganisha na msimu jana. Nimeweza kuwafahamu wachezaji wenzangu, ligi ya Serie A na timu hii kwa mwaka sasa.”
"Romelu ni muhimu sana kwa timu hii na hasa kwangu kwa sababu ana uwezo wa kuzungumza Kidachi. Ana sifa za kipekee na muhimu. Amedhihirisha wazi leo. Mtindo wake unasaidia timu nzima.”
Kwengineko Spezia wakiwa nyumbani walipata ushindi wa 1-0 dhidi ya Empoli katika mechi ya ligi iliyopita, iliyochezwa Agosti 14.
The Yellow and Reds wameshinda mechi zao mbili kati ya tatu za mwisho za ligi ambapo walikuwa wamepoteza dhidi ya SSC Napoli kabla ya kuikabili Empoli.
Katika mechi yao ya ligi ya mwisho ugenini, Spezia waliibuka na ushindi dhidi ya Udinese Calcio na ushindi huo ulifikisha kikomo msururu wa mechi sita bila kushinda wakiwa ugenini.
Lidera a nossa tabela de classificação e ganha muito
Participa na promoção Super Bolada desta época para poderes ganhar uma parte de 400,000 MT em ofertas incríveis.
Mechi ya mwisho ya ligi baina ya Inter na Spezia ilikuwa mnamo Aprili 15 2022.
Inter walipata ushindi wa 3-1 dhidi Spezia kwenye mechi hiyo iliyochezewa ugani Stadio Alberto Picco, ambao ulipewa jina la aliyekuwa mwanasoka na askari wa Italia Alberto Picco.
Takwimu baina ya timu hizi, mechi 4 za mwisho za ligi
Mechi - 4
Inter - 3
Spezia - 0
Sare - 1
Ratiba ya mechi za Serie A mchezo wa pili.
Agosti 20 Jumamosi
7:30pm - Torino FC v SS Lazio
7:30pm - Udinese Calcio v US Salernitana
9:45pm - Inter Milan v Spezia Calcio
9:45pm - US Sassoulo v US Lecce
Agosti 21 Jumapili
7:30pm - Empoli FC v ACF Fiorentina
7:30pm - SSC Napoli v AC Monza
9:45pm - Atalanta BC v AC Milan
9:45pm - Bologna FC v Hellas Verona
Agosti 22 Jumatatu
7:30pm - AS Roma v US Cremonese
9:45pm - UC Sampdoria v Juventus FC
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.