Football

City kuwaalika United katika debi ya 188 ya Manchester

30/09/2022 17:28:38
Manchester City wanatarajia kupata ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya United watakapokutana kwenye mechi ya 188 baina yao Jumapili Oktoba 2.
 

England watamani ushindi wa kwanza dhidi ya Italia tangu 2012

22/09/2022 17:57:14
England wanatamani kupata ushindi wao wa kwanza kwenye ligi ya UEFA Nations League watakapomenyana na Italia ugani San Siro Ijumaa Septemba 23.
 

Spurs wapania ushindi wa nne mfululizo dhidi ya Foxes

16/09/2022 11:06:26
Tottenham wanapania kuendeleza masaibu ya Leicester watakapokutana kwenye mechi ya ligi ya premier ugani Tottenham Hotspur Stadium Jumamosi ya Septemba 17.
 

Milan na Napoli kuchuana kwenye mechi Serie A

16/09/2022 09:19:09
AC Milan wataalika SSC Napoli kwenye mechi ya ligi ya Serie A ugani Stadio Giuseppe Meazza Septemba 18.
 

Dortmund wahaha jinsi ya kumdhibiti Haaland

14/09/2022 08:53:50
Erling Haaland anatarajia kuendeleza ubabe wake dhidi ya waajiri wake wa zamani Dortmund, watakapokutana kwenye mechi ya UEFA Champions League siku ya Jumatano Septemba 14.

Inter wapania ushindi dhidi ya Torino

08/09/2022 18:35:40
Inter Milan watakuwa mwenyeji wa Torino FC kwenye mechi ya ligi ugani Stadio Giuseppe Meazza mnamo Septemba 10.
 

City kukabana koo na Spurs baada ya kupoteza alama mbili dhidi ya Villa

08/09/2022 18:28:22
Manchester City na Tottenham watakabiliana kwenye mechi ya ligi ugani Etihad mnamo Septemba 10 Jumamosi. 
 

Inter na Bayern kwenye mechi kali ya UEFA

06/09/2022 13:39:52
Inter Milan watacheza dhidi ya Bayern Munich kwenye mechi ya UEFA Champions kundi C mnamo Septemba 7.
 

Madrid na Betis kutoana kijasho kwenye mechi ya ligi.

02/09/2022 18:20:39
Real Madrid na Real Betis watamenyana ugani Estadio Santiago Bernabéu  katika mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Septemba 3.
 

City watafuta ushindi wa kwanza dhidi ya Reds tangu 1993

31/08/2022 09:12:09
Manchester City watazamia kuendeleza ubabe wao kwenye ligi watakapowaalika Nottingham Forest ugani Etihad Stadium Jumanne Agosti 31.