Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 English Premier League
Matchday 8
Tottenham Hotspur v Leicester City
Tottenham Hotspur Stadium
London, England
Saturday, 17 September 2022
Kick-off is at 19h30
Tottenham wanapania kuendeleza masaibu ya Leicester watakapokutana kwenye mechi ya
ligi ya premier ugani Tottenham Hotspur Stadium Jumamosi ya Septemba 17.
Spurs walipata ushindi wa 2-1 dhidi ya majirani wao wa London Fulham kwenye mechi yao ya mwisho ya premier na kushinikiza zaidi viongozi wa ligi Arsenal.
Vijana wa Antonio Conte wapo nyuma ya Arsenal kwa alama moja wakiwa nafasi ya tatu baada ya kupata ushindi mara nne kwenye mechi sita za msimu huu na wana imani watapa ushindi wa nne mfululizo dhidi ya Leicester.
Kileleni mwa msimamo na nafasi ya kushinda zawadi bab-kubwa
Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.
Sajili mpya Richarlison alifunga magoli yake ya kwanza kwa Tottenham kwenye ushindi wa 2-0 katika mechi ya UEFA dhidi ya Marseille wiki iliyopita na Conte alimsifia sana raia huyo wa Brazili kwa uchezaji wake.
"Nafurahia sana mchango wa I Richarlison. Alistahili kuwa na mchezo mzuri usiku wa leo. Ni mchezaji mzuri na mpambanaji. Nampenda,” raia huyo wa Italia aliiambia SPURSPLAY.
"Nakumbuka tulipomsajili akisema ana hamu ya kusikia wimbo wa ligi ya UEFA. Niliona mahojiano yake. Hayo ni maneno mazuri.
"Nilikumbuka maneno hayo leo na kumpa nafasi ya kucheza kwani ailistahili. Alijituma sana kwa kweli.”
Kwengineko, The Foxes wamepata alama moja tangu kuanza kwa msimu huu, baada ya kupoteza mechi tano kati ya sita zilizochezwa.
Mechi ya mwisho ilikuwa dhidi ya Brighton ambapo walipoteza 5-2. Leicester ilifunga bado la kwanza lakini Brighton ilitoka nyuma na kupata ushindi.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Rodgers amekuwa chini ya shinikizo kubwa kwenye kazi hiyo ugani King Power Stadium lakini anasisitiza kuwa uongozi wa klabu hiyo bado unamuunga mkono na ana imani mambo yatabadilika.
"Wamekuwa wakiniunga mkono. Nina uzoefu wa kutosha kuhusu soka. Hatujawa na mwanzo mzuri lakini uungwaji mkono na waajiri wangu unaonyesha wanaelewa changamoto tulizopitia kipindi cha uhamisho,” alisema Rodgers.
"Ni jukumu langu kuimarisha hali hii na matokeo. Hakuna mjadala kwenye hilo. Wananipa msaada sana kufanikisha hilo.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za ligi
Mechi - 5
Tottenham - 4
Leicester - 1
Sare - 0
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.