Football

Foxes watafuta mbinu za kumzuia Haaland

29/10/2022 16:14:24
Manchester City watakuwa na nafasi ya kuongoza jedwali la ligi japo kwa muda watakaposafiri kuikabili Leicester Oktoba 29, Jumamosi.
 

Dortmund na matumaini ya kuzima makali ya City

24/10/2022 15:54:54
Manchester City wanatarajia kuendeleza msururu wa matokeo mazuri ya mechi za UEFA msimu huu watakapoikabili Borussia Dortmund kwenye mechi ya makundi Oktoba 25 Jumanne Signal Iduna Park.
 

Madrid na Sevilla kukabana koo mechi ya ligi

20/10/2022 15:29:53
Real Madrid atakuwa mwenyeji wa Sevilla FC katika mechi ya ligi kuu Uhispania Oktoba 22 ugani Estadio Santiago Bernabéu.
 

Roma na Napoli kukutana kwenye dabi del Sole

20/10/2022 14:53:51
AS Roma itakuwa mwenyeji wa SSC Napoli katika mechi ya ligi kuu Italia mnamo Oktoba 23 ugani Stadio Olimpico.
 

Madrid na Barcelona kutoana kijasho El Clasico

14/10/2022 17:29:52
Real Madrid na Barcelona watafufua uhasama wao watakapokabiliana kwenye mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Oktoba 16 Estadio Santiago Bernabéu.
 

Verona kuwaalika mabingwa Milan

14/10/2022 17:22:38
Hellas Verona watakabiliana na mabingwa wa ligi ya Italia AC Milan kwenye mechi ya ligi ugani Stadio Marc'Antonio Bentegodi Oktoba 16.
 

Reds wapania kufufua matumaini dhidi ya City

14/10/2022 17:03:08
Liverpool wanapania kufikisha kikomo msururu wa mechi tano za ligi bila ushindi watakapomenyana na Manchester City kwenye mechi ya ligi ugani Anfield Jumapili Oktoba 16.
 

Barca kwenye mechi tatu muhimu kundi C

11/10/2022 13:27:22
Barcelona wana kibarua cha ziada katika azma yao ya kufuzu kuingia hatua ya muondoano ya mechi za UEFA watakapomkaribisha Inter Milan Camp Nou Jumatano Oktoba 12.
 

Milan mwenyeji wa Juventus ligi kuu Italia.

07/10/2022 11:00:08
AC Milan watakuwa mwenyeji wa Juventus FC katika mechi ya ligi kuu Italia Oktoba 8 ugani Stadio Giuseppe Meazza.
 

Inter kukutana na Barcelona katika mechi ya kuvutia, UEFA

03/10/2022 13:22:14
Inter Milan na Barcelona watamenyana vikali katika mechi ya UEFA kundi C Oktoba 4.