Football

Red Devils watamani kupata ushindi, angalau

08/03/2022 17:45:02
Manchester United watapania kupata ushindi baada ya kushindwa katika mechi ya kwanza katika michezo kumi ya ligi watakapoialika Tottenham Old Trafford Jumamosi Machi 12.
 

Milan kuendeleza msururu wa matokeo mazuri dhidi ya Empoli

08/03/2022 17:38:33
AC Milan watapambana na Empoli FC katika mechi ya ligi ugani Stadio Giuseppe Meazza mnamo Machi 12.
 

Mallorca kukabana koo na Madrid

08/03/2022 16:06:51
Real Mallorca watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mchezo wa ligi ugani Iberostar Estadi Machi 14.
 

Madrid wapania kisasi dhid PSG

08/03/2022 15:21:07
Real Madrid wataalika Paris Saint Germain (PSG) katika mechi ya ligi ya UEFA hatua ya 16 bora mkondo wa pili mnamo Mchi 9.

City na United kucheza katika debi ya 187

03/03/2022 09:22:22
Machi 6 Jumapili, Manchester City wataialika Manchester United ugani Etihad kwenye mchezo wa ligi, na ambao utakuwa ni debi ya 187 baina ya timu hizi.

Napoli na Milan kwenye mechi kali ya Serie A

01/03/2022 16:50:00
SSC Napoli watakuwa mwenyeji wa AC Milan katika mechi ya Serie A ugani Stadio Diego Armando Maradona mnamo Machi 6.

Madrid kuendeleza ubabe wao kwa kuishinda Sociedad

01/03/2022 16:35:52
Real Madrid watakuwa mwenyeji wa Real Sociedad kwenye mechi ya ligi Estadio Santiago Bernabéu mnamo Machi 5.
 

Empoli wapania kupata alama sita za msimu dhidi ya Juventus

23/02/2022 16:19:09
Empoli FC watakuwa mwenyeji wa Juventus FC katika mechi ya ligi ugani Stadio Carlo Castellani tarehe 26 Februari.
 

Toffees kuwa wenyeji wa City Goodison Park

23/02/2022 16:12:07
Everton watakuwa mwenyeji wa Manchester City katika mechi ya ligi ugani Goodison Park Jumamosi Februari 26, huku City wakipania kujizoa baada ya kupoteza mechi dhidi ya Tottenham Hotspurs.

Real na Vallecano kukutana katika debi ya Madrid

23/02/2022 15:59:10
Rayo Vallecano watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi ugani Estadio Wanda Metropolitano mnamo Februari 26.