Red Devils watamani kupata ushindi, angalau


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 English Premier League

Matchday 29

Manchester United v Tottenham Hotspur

Old Trafford
Manchester, England
Saturday, 12 March 2022
Kick-off is at 20h30  
 
Manchester United watapania kupata ushindi baada ya kushindwa katika mechi ya kwanza katika michezo kumi ya ligi watakapoialika Tottenham Old Trafford Jumamosi Machi 12.
 
The Red Devils walipoteza 4-1 mikononi mwa mahasimu wao wa jadi Manchester City ugani Etihad.
 
United wamefanikiwa kupata alama moja katika michezo miwili iliyopita kufuatia sare ya 0-0 na Watford Februari 26 na sasa wapo katika nafasi ya tatu wakiwa na michezo mitatu zaidi ya wapinzani wao wa karibu Arsenal waliopo katika nafasi ya nne.

Ralf Rangnick
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Rangnick amekiri kuwa itabidi United wajitume zaidi iwapo watamaliza katika nne bora huku ratiba yao ikiwa na mechi ngumu dhidi ya Arsenal, Liverpool na Chelsea.
 
"Sikutarajia Arsenal kupoteza dhidi ya Watford. Ni wazi kwetu iwapo tunahitaji kumaliza katika nafasi za kwanza nne, hatuna nafasi ya kupoteza alama hata moja ikiwezekana. Tunafahamu kwamba katika mechi kumi zilizosalia pia kuna mechi ngumu,” alisema.
 
Spurs wameshinda mechi mbili kati ya tatu zilizopita, ushindi wa karibu ukiwa 4-0 dhidi ya Leeds, Elland Road Februari 26.
 
wapo katika nafasi ya saba huku wakiachwa na alama na Arsenal. Hata hivyo, Spurs wana michezo mitatu ya ziada kwa timu mbili zilizopo juu yao.

Antonio Conte
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Huku wakiwa na mechi dhidi ya Everton Machi 7, Antonio Conte amekiri umuhimu wa kuwa na wiki nzima ya mazoezi na wachezaji wake kwani imekuwa vigumu hivi karibuni kutoka na ratiba kuwa na mechi nyingi zinazofuatana.
 
"Huu ni muda mwafaka. Hadi mwisho wa msimu tutakuwa na siku nyingi za kufanya mazoezi na wachezaji wangu,” alisema Conte.
 
"Ni nafasi tunayofaa kuitumia vizuri. Siku zaidi za kufanya mazoezi na kujiandaa kwa ajili ya mechi.”
 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za ligi zilizopita

 
Mechi - 5
Man United - 3
Tottenham - 1
Sare - 1


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.

Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 
 

Published: 03/08/2022