Football

Juventus kuwa mwenyeji wa Bologna

14/04/2022 15:36:18
Juventus FC watakuwa mwenyeji wa Bologna FC katika mchezo wa ligi kuu ya Italia ugani Allianz Stadium Aprili 16.
 

Red Devils wapania kuendeleza ubabe dhidi ya Norwich

13/04/2022 14:48:31
Manchester United wanapania kupata ushindi kwa mara ya tano mfululizo katika ligi dhidi ya Norwich watakapokutana Jumamosi Aprili 16. Ni katika juhudi ya kuokoa nafasi ya kumaliza nne bora.
 

Sevilla kuwa mwenyeji wa Madrid, La Liga

12/04/2022 13:29:18
Sevilla FC watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi ya Uhispania ugani Estadio Ramón Sánchez Pizjuán Aprili 17.
 

Klabu za Uhispania zina imani kufika hatua ya nusu fainali ya UEFA

11/04/2022 13:18:31
Real Madrid, Atletico Madrid na Villarreal CF wana imani kufuzu na kuingia hawamu ya nusu fainali ya ligi ya UEFA watakaposhiriki mechi za mkondo wa pili wa robo fainali. 
 

Citizens kupambana Reds katika mechi ya viongozi wa ligi

06/04/2022 11:59:01
Hatima ya ligi ya Premier msimu huu inaweza kuamuliwa wakati Manchester City watakutana na Liverpool ugani Etihad Jumapili Aprili 10.
 

Madrid wako tayari kusimamisha Getafe iliyoimarishwa

05/04/2022 16:18:05
Real Madrid watamwalika Getafe CF Estadio Santiago Bernabéu Aprili 9 katika mechi ya ligi kuu Uhispania, La liga.
 

Chelsea na Madrid kutoana kijasho

04/04/2022 15:48:38
Chelsea FC watakutana na Real Madrid kwenye mechi ya UEFA hawamu ya robo fainali mkondo wa kwanza, Aprili 6. 
 

Barcelona na Sevilla kuchuana katika mechi ya La Liga

29/03/2022 10:54:45
FC Barcelona na Sevilla FC watamenyana katika mechi ya ligi kuu Uhispania ugani Camp Nou, Aprili 3.
 

Juventus na Inter katika Debi ya d'Italia

29/03/2022 10:08:44
Juventus FC na Inter Milan watamenyana katika mechi ya ligi kuu nchini Italia ugani Allianz Stadium mnamo Aprili 3.
 

The Reds kuwashinikiza zaidi City

29/03/2022 09:37:16
Liverpool watakuwa na nafasi ya kuongoza jedwali la ligi ya Premier watakapoialika Watford ugani Anfield Jumamosi Aprili 2 katika mechi ya ligi.