Michezo Mingine

Mavericks kumenyana na Celtics

06/01/2023 17:50:47
The Dallas Mavericks watacheza dhidi ya Boston Celtics katika mechi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) ukumbini American Airlines Center Januari 6. 

Warriors wapania ushindi mwingine dhidi ya Trail Blazers.

29/12/2022 13:48:24

The Golden State Warriors na Portland Trail Blazers watamenyana vikali katika mechi ya ligi ya mpira ya kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 31.

Suns kuwa mwenyeji wa Grizzlies

22/12/2022 13:52:00

The Phoenix Suns watakuwa mwenyeji wa Memphis Grizzlies kwenye mechi ya ligi ya

mchezo wa kikapu, NBA mnamo Desemba 24.

Lakers kuwakaribisha Nuggets

14/12/2022 12:05:24
Los Angeles Lakers watakabiliana na Denver Nuggets katika mechi ya ligi ya kikapu ya in the National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 18.
 

Macho yote kuangazia shindano la 2022 la Alfred Dunhill Championship

07/12/2022 11:04:13
Shindano la gofu la mwaka 2022 la Alfred Dunhill Championship linatarajiwa kufanyika Malelane, Afrika Kusini kati ya tarehe 8 na 11 mwezi Desemba.
 

76ers na nia ya ushindi dhidi ya Lakers

07/12/2022 10:43:07
Philadelphia 76ers itamenyana na Los Angeles Lakers katika mechi ya ligi ya National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 10.
 

Celtics watarajia kuendeleza ubabe dhidi ya Heat

01/12/2022 14:16:21
Boston Celtics watamenyana na Miami Heat katika mechi ya ligi ya kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 3.
 

Shindano la gofu Hero World Challenge 2022 kung’oa

01/12/2022 11:23:27
Shindano la 2022 Hero World Challenge la gofu litafanyika Albany, New Providence, The Bahamas kati ya tarehe 1 na 4 Desemba.
 

Magic na nia ya kuwabana 76ers

24/11/2022 17:47:47
The Orlando Magic wanatarajia ushindi dhidi the Philadelphia 76ers timu hizo zitakapokutana kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu National Basketball Association (NBA) katika ukumbi wa Amway Center Orlando, Florida Jumamosi 26 Novemba saa nane asubuhi majira ya Afrika ya kati.
 

Verstappen na Perez kushirikiana katika mbio za Abu Dhabi

18/11/2022 14:23:13
Max Verstappen amehapa kumsaidia dereva mwenza wa Red Bull Sergio Perez katika mbio za kukamilisha msimu za Abu Dhabi Grand Prix Jumapili Novemba 20.