Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 National Basketball Association (NBA) season
Regular Season
Los Angeles Lakers v Denver Nuggets
Crypto.com Arena
Los Angeles, USA
Sunday, 18 December 2022
23h30
Los Angeles Lakers watakabiliana na Denver Nuggets katika mechi ya ligi ya kikapu ya in the
National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 18.
Hii itakuwa mechi ya 188 baina ya timu hizi katika msimu wa kawaida wa NBA tangu mwaka 1976 timu ya Nuggets ilipojiunga na NBA.
The Lakers wamepata ushindi zaidi katika kinyang’anyiro hiki; 112 dhidi ya mara 75 kwa faida ya Nuggets.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Lakers waliibuka na ushindi kwenye mchezo wa mwisho baina ya timu hizi mnamo Oktoba 31 2022 katika ukumbi wa Ball Arena, Denver Colorado Marekani.
The Lakers walipata ushindi wao wa kwanza wa msimu huu wa NBA James LeBron alipowaongoza kuishinda 121-110 the Nuggets.
The Lakers wapo katika nafasi ya 12 kwenye jedwali la michezo ya Western Conference baada ya kushinda mechi 11 na kushindwa mechi 15 katika michezo 26.
The Nuggets wanachukua nafasi ya 3 kwenye jedwali la michezo ya Western Conference baada ya michezo 26 huku wakiandikisha ushindi mara 16 na kushindwa mara 10.
The Nuggets walipata ushindi wa 16 wa msimu huu baada ya kuwashinda 115-110 Utah Jazz Jumapili Desemba 11 ukumbini Ball Arena.
“Sharti tushambulie na kuzuia vilivyo katika mechi,” alisema kocha wa Nuggets Michael Malone baada ya ushindi.
“Hatujawa wazuri kwenye hilo katika michezo michache iliyopita. Mchezo huu ulikuwa hujaamuliwa lakini tulifanikiwa kuzuia mashambulizi muhimu.
“Tulifanya vizuri kupata alama muhimu mwishoni mwa mechi.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za NBA
Mechi - 5
Lakers - 3
Nuggets - 2
Ratiba ya mechi za NBA - 17-18 Desemba
Desemba 17 Jumamosi
03:00am - Charlotte Hornets v Atlanta Hawks
03:00am- Detroit Pistons v Sacramento Kings
03:30am - Boston Celtics v Orlando Magic
03:30am - Cleveland Cavaliers v Indiana Pacers
03:30am - Philadelphia 76ers v Golden State Warriors
03:30am - Toronto Raptors v Brooklyn Nets
04:00am - Chicago Bulls v New York Knicks
04:00am - Oklahoma City Thunder v Minnesota Timberwolves
04:30am - Dallas Mavericks v Portland Trail Blazers
06:00am - Los Angeles Lakers v Denver Nuggets
24:00pm - Los Angeles Clippers v Washington Wizards
Desemba 18 Jumapili
01:00am - San Antonio Spurs v Miami Heat
04:00am - Cleveland Cavaliers v Dallas Mavericks
04:00am - Houston Rockets v Portland Trail Blazers
04:00am - Milwaukee Bucks v Utah Jazz
04:00am - Oklahoma City Thunder v Memphis Grizzlies
05:00am - Phoenix Suns v New Orleans Pelicans
23:00am - Boston Celtics v Orlando Magic
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.