Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 National Basketball Association (NBA) season
Regular Season
Phoenix Suns v Memphis Grizzlies
Footprint Center
Phoenix, USA
Saturday, 24 December 2022
05h00
The Phoenix Suns watakuwa mwenyeji wa Memphis Grizzlies kwenye mechi ya ligi ya
mchezo wa kikapu, NBA mnamo Desemba 24.
Hii itakuwa ni mara ya 99 timu hizi kukutana kwenye ligi tangu msimu 1995/96 ambao
ulikuwa ni msimu wa kwanza wa Grizzlies katika ligi ya NBA.
The Suns wameshinda mara 58 kati ya mechi hizo 99 ukilinganisha na mara 40 kwa
faida ya Grizzlies.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Mara ya mwisho the Suns na Grizzlies kukutana kwenye ligi ilikuwa mnamo Aprili 2
2022 katika ukumbi wa FedExForum, Memphis, Tennessee, Marekani.
Dillon Brooks alikuwa na mchango mkubwa kwenye mchezo huo huku akitia kibindoni
alama 30 Grizzlies aliposhinda the Suns 122-114, ushindi uliofikisha msururu wa mechi
saba bila kushindwa.
The Suns wanashikilia nafasi ya nne kwenye michezo ya Western Conference baada
ya mechi 30 huku wakishinda mechi 18 na kupoteza mechi 12.
The Grizzlies wapo katika nafasi ya kwanza kwenye michezo ya Western Conference
baada ya kushinda mechi 19 na kupoteza mechi 10 ikiwa wamecheza jumla ya mechi
29.
The Suns walipata ushindi wa 118-114 dhidi New Orleans Pelicans jumapili Desemba
18. Devin Booker alimaliza mchezo huo na alama 58 na asilimia 60 ya shabaha
iliyojumuisha vikapu 25.
“Niliwaambia wakufunzi leo asubui ana malengo makubwa. Sio kila mara huwa na
shabaha kama tuliyoshuhudia,” kocha wa Suns Monty Williams alisema kuhusu Booker.
“Nilishuhudia kutoridhika kwake Los Angeles. Ilinibidi kutafuta mbinu zitakazomsaidia
kuimarisha mchezo wake. Sina uhakika juhudi zetu zilichangia mchezo wake ila
tulifanyia kazi baadhi ya mambo.
“Alikuwa na jioni nzuri.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za NBA.
Mechi - 5
Suns - 3
Grizzlies- 2
Ratiba ya mechi za NBA – Desemba 24-25
Desemba 24 Jumamosi
03:00am - Orlando Magic vs San Antonio Spurs
03:00am - Philadelphia 76ers vs Los Angeles Clippers
03:30am - Atlanta Hawks vs Detroit Pistons
03:30am - Boston Celtics vs Minnesota Timberwolves
03-30am - Brooklyn Nets vs Milwaukee Bucks
03:30am - Cleveland Cavaliers vs Toronto Raptors
03:30am - New York Knicks vs Chicago Bulls
04:00am - Houston Rockets vs Dallas Mavericks
04:00am - Miami Heat vs Indiana Pacers
04:00am - Oklahoma City Thunder vs New Orleans Pelicans
05:00am - Denver Nuggets vs Portland Trail Blazers
06:00am - Phoenix Suns vs Memphis Grizzlies
06:00am - Sacramento Kings vs Washington Wizards
06:30am - Los Angeles Lakers vs Charlotte Hornets
Desemba 25 Jumapili
08:00am - New York Knicks vs Philadelphia 76ers
10:30pm - Dallas Mavericks vs Los Angeles Lakers
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.