Mavericks kumenyana na Celtics


Hakimiliki ya picha: Getty Images
 

2022/23 National Basketball Association (NBA) season

Regular Season 

Dallas Mavericks v Boston Celtics 

American Airlines Center

Dallas, USA

Friday, 6 January 2022

03h30 

 

The Dallas Mavericks watacheza dhidi ya Boston Celtics katika mechi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) ukumbini American Airlines Center Januari 6. 

 

Hii itakuwa mara ya 84 timu hizi kukutana katika msimu wa NBA tangu mwaka 1980/81 Mavericks waliposhiriki ligi ya NBA kwa mara ya kwanza.

 

The Celtics wameshinda michuano hii mara 43 ukilinganisha na mara 40 kwa faida ya Mavericks.


Jaylen Brown
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

Mara ya mwisho mabingwa hawa wa zamani wa NBA kukutana ilikuwa mnamo Novemba 24 2022 katika ukumbi wa TD Garden Boston, Massachusetts, Marekani. 

 

Jayson Tatum na Jaylen Brown walionyesha mchezo mzuri katika mechi hiyo huku wakichangia alama 37 na 31 mtawalia na kuisaidia Celtics kushinda dhidi ya 125-112 dhidi ya Mavericks.

 

The Mavericks wapo katika nafasi ya saba kwenye michezo ya Western Conference baada ya kupata ushindi wa mechi 18 na kushindwa mechi 16 kwa jumla ya mechi 34.

 

Kwa upande mwingine, Celtics wanashikilia nafasi ya kwanza katika michezo ya Eastern Conference huku wakishinda mechi 24 na kupoteza mechi 10 kwa jumla ya michezo 34.
 

Luka Doncic aliandikisha kwa mara ya kwanza kabisa 60/20/10 katika historia ya NBA na kusaidia the Mavericks kupata ushindi wa 126-121 dhidi ya New York Knicks Jumatano Desemba 28.

 

"Amewashangaza wengi. Ana talanta ya kipekee. Wachezaji huchangia kuandika historia ya mchezo na tumeshuhudia hilo jioni hii,” alisema kocha mkuu wa Mavericks Jason Kidd kuhusu uchezaji wa Doncic.

 

"Sio rahisi kufikia mafanikio aliyopata Luka. Rekodi ambayo haijawai kutokea. Kulikuwa na wachezaji mahiri waliotangulia. Uwezo wake unakaribia Elgin Baylor na Wilt Chamberlain. Alionyesha mchezo mzuri sana.

 

"Alikuwa katika kiwango tofauti. Ni jambo zuri kabisa.”

 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho za NBA.

Mechi - 5

Mavericks - 1

Celtics - 4

 

Ratiba ya mechi za NBA tarehe 6-7 Januari 

 

Januari 6 Ijumaa

03:00am - Orlando Magic vs Memphis Grizzlies
03:30am - Dallas Mavericks vs Boston Celtics
04:00am - Houston Rockets vs Utah Jazz
06:00am - Denver Nuggets vs Los Angeles Clippers

 

Januari 7 Jumamosi

03:00am - Indiana Pacers vs Portland Trail Blazers
03:30am - Philadelphia 76ers vs Chicago Bulls
03:30am - Toronto Raptors vs New York Knicks
04:00am - Milwaukee Bucks vs Charlotte Hornets
04:00am - Oklahoma City Thunder vs Washington Wizards
04:00am - San Antonio Spurs vs Detroit Pistons
04:30am - New Orleans Pelicans vs Brooklyn Nets
05:00am - Denver Nuggets vs Cleveland Cavaliers
05:00am - Minnesota Timberwolves vs Los Angeles Clippers
06:00am - Phoenix Suns vs Miami Heat
06:30am - Los Angeles Lakers vs Atlanta Hawks

 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 01/06/2023