Warriors wapania ushindi mwingine dhidi ya Trail Blazers.


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

Regular Season

 

Golden State Warriors v Portland Trail Blazers 

Chase Center

San Francisco, USA

Saturday, 31 December 2022

05h00  

 

The Golden State Warriors na Portland Trail Blazers watamenyana vikali katika mechi ya ligi ya mpira ya kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 31.

 

Hii ni mara ya 239 mabingwa watetezi wa NBA Warriors na Trail Blazers kukutana katika michezo ya ligi tangu mwaka 1970.

 

The Trail Blazers wameshinda mara 129 kati ya mara 239 walizocheza ukilinganisha na mara 109 kwa faida ya Warriors.
 

Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa tarehe 12 Oktoba 2022 kwenye ukumbi wa Chase Center, ambao ni uwanja wa nyumbani wa Warriors. 

 

The Warriors walipata ushindi wa 131-98 wakiwa nyumbani dhidi ya Trail Blazers huku Moses Moody akichangia alama 20.

 

The Warriors wanashikilia nafasi ya 11 kwenye michezo ya Western Conference baada ya mechi 33; wakishinda mechi 15 na kushindwa mechi 18.

 

Kwingineko, the Trail Blazers wapo katika nafasi ya saba kwenye michezo ya Western Conference baada ya kuandikisha ushindi mara kumi na saba na kupoteza mechi 15 katika mechi 32 walizocheza.


Steve Kerr
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 

Matokeo ya mabovu ya Warriors ugenini yaliendelea Alhamisi ya Desemba 22 walipopoteza 143-113 dhidi ya Brooklyn Nets ambapo Jordan Poole alionyesha mchezo duni.

 

Poole, ambaye ni mchezaji wa safu ya ushambulizi ya Warriors alimaliza mechi hiyo akiwa na alama 13 lakini mchezo wake haukuwa wa kuridhisha.

 

"Anakuwa na mchezo mzuri na shabaha ya asilimia kubwa anapocheza kwa utulivu,” alisema kocha mkuu wa Warriors Steve Kerr.

 

"Michezo michache iliyopita amekuwa akijaribu sana bila mafanikio makubwa. Ni tatizo kubwa kwetu.”

 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za NBA.

Mechi - 5

Warriors - 5

Trail Blazers- 0

 

Ratiba ya mechi za NBA - 31 Desemba na 1 Januari


Desemba 31 Jumamosi

03:00am  Orlando Magic vs Washington Wizards
03:30am - Atlanta Hawks vs Los Angeles Lakers
03:30am - Toronto Raptors vs Phoenix Suns
04:00am - Chicago Bulls vs Detroit Pistons
04:00am - Milwaukee Bucks vs Minnesota Timberwolves
04:30am - New Orleans Pelicans vs Philadelphia 76ers
05:00am - Denver Nuggets vs Miami Heat
06:00am - Golden State Warriors vs Portland Trail Blazers
06:00am - Sacramento Kings vs Utah Jazz
11:00pm - Indiana Pacers vs Los Angeles Clippers

Januari 1 Jumapili

03:00am - Charlotte Hornets vs Brooklyn Nets
03:00am - Chicago Bulls vs Cleveland Cavaliers
03:00am - Houston Rockets vs New York Knicks
03:00am - San Antonio Spurs vs Dallas Mavericks
04:00am - Memphis Grizzlies vs New Orleans Pelicans
04:00am - Minnesota Timberwolves vs Detroit Pistons
04:00am - Oklahoma City Thunder vs Philadelphia 76ers
05:00am - Utah Jazz vs Miami Heat

 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

 

Published: 12/29/2022