Michezo Mingine

Joshua ataka ‘kumuenzi McCracken kwa ushindi’

23/09/2021 09:47:15
Bondoa Anthony Joshua anatazamia kutwaa ushindi kwa heshima ya kocha wake Rob McCracken atakapopigana na Oleksandr Usyk kutetea mataji yake ya ubingwa wa dunia wa  WBA (Super), IBF, WBO na IBO Heavyweight Jumamosi tarehe 25 Septemba 2021 katika uwanja wa Tottenham Hotspur Stadium mjini London.

Mambo Tayari kwa Ryder Cup 2021

21/09/2021 11:11:36
Michuano ya Mashindano ya Golf ya Ryder Cup Mzitafanyika katika uwanja wa Straits, Whistling Straits, Haven, Wisconsin, Marekani kati ya tarehe 24 na 26 Septemba

Medvedev atafuta fainali ya pili US Open

10/09/2021 13:15:32
Mrusi Daniil Medvedev atakuwa anatafuta kufika fainali ya mashindano ya Tenis ya US Open kwa mara ya pili katika fani yake mwaka huu.
 

Quartararo amulika ushindi mwingine katika Aragon MotoGP

10/09/2021 11:52:23
Mwendeshaji wa timu ya Yamaha Fabian Quartararo atakuwa anatazamia kushinda kwa mara ya pili mfululizo atakaposhiriki mashindano ya mbio za pikipiki ya Aragon MotoGP.
 

Verstappen apania kuendelea kuongoza Monza

09/09/2021 15:30:14

Max Verstappen anatazamia kuendelea kukaa kileleni katika mashindano ya mbio za magari ya Formula 1 Ubingwa wa Dunia, kwenye mkondo wa 14 wa mashindano hayo yatakayofanyika katika mzunguko wa the Autodromo Nazionale di Monza jumapili tarehe 12 Septemba alasiri.

Verstappen apania ushindi anaporejea Dutch GP

02/09/2021 07:28:29
Dereva wa Red Bull Racing-Honda Max Verstappen atakuwa anapania ushindi atakaposhiriki kwenye mashindano ya Dutch Grand Prix.

Mashindano ya US Open 2021 kung’oa nanga

31/08/2021 11:22:43
Mashindano ya Tennis ya US Open 2021 yanatarajiwa kufanyika katika uwanja wa kitaifa wa Tennis wa USTA Billie Jean King kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 12.

Macho yote kwa British MotoGP 2021

25/08/2021 07:39:14
Mashindano ya mbio za pikipiki ya British MotoGP 2021 ambayo pia yanajulikana kama Monster Energy British Grand Prix yatafanyika eneo la Silverstone, England mnamo tarehe 29 Agosti.

Pacquiao atafuta ushindi wa nne mtawalia

19/08/2021 14:23:56
Bondia Manny Pacquiao atakuwa anafuata ushindi wa mara ya nne mtawalia atakapopigana na Yordenis Ugas pigano la ubingwa wa dunia wa WBA (Super) Welterweight katika ukumbi wa T-Mobile mjini Las Vegas, Marekani, Jumapili tarehe 22 Agosti 2021. 

Mbio za Pikipiki za Austrian MotoGP 2021 kutimua

13/08/2021 11:04:31
Mashindano ya mbio za pikipiki ya Austrian MotoGP ambayo pia yanajulikana kama Bitci Motorrad Grand Prix von Österreich yatafanyika katika mji wa Spielberg, Austria Agosti 15.