BETWAY Tanzania Home
Local
International
Home
Soka
Ligi Kuu
Njia ya
Michezo Mingine
CSR
Winners
Football
Madrid kuikabili timu ya Bilbao inayoimarika kila uchao
12/10/2021 14:44:37
Klabu ya Real Madrid itachuana na Athletic Bilbao katika uwanja wa Estadio Santiago Bernabeu mnamo tarehe kumi na saba mwezi oktoba katika mechi ya ligi, La liga.
Milan kuwakaribisha vijana wanaojituma sana wa Verona
12/10/2021 14:37:03
AC Milan watamenyana na Hellas Verona oktoba kumi na sita katika mechi ya ligi ya Italia, Serie A ugani Stadio Giuseppe Meazza
Jamhuri ya Czech, Wales katika mgongano wa Kundi E
06/10/2021 14:45:26
Jamhuri ya Czech itaikaribisha Wales katika Kundi E 2022 la kufuzu Kombe la Dunia huko Prague Ijumaa jioni.
Tanzania Chukua Lengo Katika Hatari Benin
05/10/2021 15:29:56
Tanzania itacheza na Benin katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia la 2022 - Kundi J mnamo Oktoba 07.
Torino, Juventus kukutana Derby ya della Mole
29/09/2021 16:13:49
Torino FC itapimana nguvu na mahasimu wao wa mjini, Juventus FC katika ligi kuu ya Italia - Serie A kwenye uwanja wa Stadio Olimpico Grande Torino Octoba 02.
Kipute kingine cha Wababe Liverpool na Man City
29/09/2021 16:03:14
Liverpool na mabingwa watetezi Manchester City watakutana tena katika mtanane mwingine wa ligi kuu ya England msimu huu wa 2021/22 katika uwanja wa Anfield siku ya Jumapili.
Atletico, Barcelona kumenyana La Liga
29/09/2021 15:52:26
Atletico Madrid itakutana na FC Barcelona kwenye Ligi kuu ya Uhispania- La Liga katika uwanja wa Estadio Wanda Metropolitano jumamopsi Octoba 02.
PSG, Man City kukutana Ubingwa wa Ulaya
27/09/2021 16:11:02
Paris Saint Germain (PSG) itapambana na Manchester City mechi ya kundi A, Ligi ya klabu Bingwa Ulaya mnamo Septemba 28.
Madrid kuwafyeka Villarreal
24/09/2021 12:19:06
Real Madrid watacheza dhdi ya Villarreal CF ligi kuu ya Uhispania- La Liga katika uwanja wa Estadio Santiago Bernabéu Septemba 25.
Milan yalenga kuendeleza mwanzo mzuri Serie A
24/09/2021 11:30:53
AC Milan watakuwa wanalenga kuendeleza mwanzo mzuri ambao wamekuwa nao msimu huu wa 2021/22 Ligi kuu ya Italia Serie A watakapocheza dhdi ya Spezia Jumamosi alasiri.
|<
<
...
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
>
>|