Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Ligi kuu ya Uhispania- La Liga
Matchday 7
Real Madrid v Villarreal CF
Estadio Santiago Bernabéu
Madrid, Uhispania
Jumamosi, 25 Septemba 2021
Inaanza 22h00
Real Madrid watacheza dhdi ya Villarreal CF ligi kuu ya Uhispania-
La Liga katika uwanja wa Estadio Santiago Bernabéu Septemba 25.
Real waliwanyeshea Real Mallorca 6-1 nyumbani mechi ya karibuni mnamo tarehe 22 Septemba.
Ushindi huo ulifikisha idadi ya mechi ambazo Real Madrid wamecheza bila kupoteza kuwa 24 katika ligi hiyo, wakiwa wameandikisha sare mara sit ana kushinda mara 18.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Madrid pia hawajapoteza katika mechi 12 za nyumbani za La Liga; wameshinda tis ana kutoka sare mara tatu.
“INina furaha. Nilikuwa na fursa ya kucheza kutoka mwanzoni na nilijua ilibidi nitumie fursa hiyo vizuri," alisema mshambuliaji wa Madrid Marcos Asensio baada ya kufunga bao 3 dhidi ya Mallorca.
"Nimefanya bidi nyingi nikisubiri fursa hii. Nimefurahishwa na ushindi huu, magoli yenyewe na kwamba tumeweza kuendeleza matokeo ya kutopoteza.”
"Ulikuwa mchezo maalum kwangu. Mallorca ni timu iliyo karibu san ana moyo wangu, kwa sababu nilianzia pale. Wamekuwa na mwanzo mzuri wa msimu na natumai wataendelea vizuri msimu mzima."
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Wakati huo huo, Villarreal waliwafunga Elche 4-1 nyumbani mechi yao ya karibuni kwenye ligi, mnamo tarehe 22 Septemba.
Villareal, ambao wanajulikana kwa utani kama Nyambizi ya Njano sasa hawajapoteza katika mechi tano walizocheza karibuni kwenye ligi, wametoka sare mara nne na kushinda mara moja.
Hata hivyo, Villareal hawajashinda katika mechi nne walizocheza ugenini- wamepata sare tat una kupoteza mchezo mmoja.
Mara ya mwisho Real Madrid na Villareal zilipokutana ilikuwa Mei 22, 2021.
Madrid walipata ushindi wa 2-1 dhidi ya Villarreal mechi ambayo ilifanyika uwanja wa Estadio Alfredo Di Stéfano.
Takwimu (Mechi tano za Karibuni)
Mechi - 5
Madrid - 3
Villarreal - 0
Sare - 2
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway