18/11/2022 17:55:16
Afrika inawakilishwa vyema katika Kombe la Dunia, pamoja na kukosekana kwa baadhi ya mataifa makubwa. Licha ya juhudi za kubwa zilizofanywa na timu za Kiafrika hapo awali, rekodi za bara la Afrika kwenye michuano hiyo bado si nzuri. Je, tutaona timu ya Afrika ikitinga Nusu Fainali?