Football

La Liga - Atletico Madrid v Real Mallorca 

26/04/2023 17:01:04
Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Real Mallorca kwenye mechi ya La Liga ugani  Estádio Cívitas Metropolitano Aprili 26.
 

EPL - Manchester City v Arsenal

26/04/2023 16:31:30
Manchester City watakuwa mwenyeji wa Arsenal ugani Etihad Stadium katika mechi za ligi mnamo Jumatano Aprili 26.
 

EPL - Newcastle United v Tottenham Hotspur

21/04/2023 13:55:04
Newcastle watakuwa wenyeji wa Tottenham katika mechi ya Premier ugani St James' Park Jumapili Aprili 23 huku timu zote mbili zikiwania nafasi ya kushiriki ligi ya UEFA msimu ujao.
 

La Liga - FC Barcelona v Atletico Madrid 

21/04/2023 13:33:09
FC Barcelona itakabiliana vikali na Atletico Madrid kwenye mechi ya ligi kuu Uhispania ugani Spotify Camp Nou Aprili 23.
 

EPL - West Ham United v Arsenal

12/04/2023 09:36:17
Viongozi wa ligi ya Premier Arsenal watakuwa na kibarua kigumu watakapoikabili West Ham London Stadium katika mechi ya ligi mnamo Aprili 16, Jumapili.

UCL - Real Madrid v Chelsea

11/04/2023 15:47:23
Chelsea wanatarajia kurejea kwa Frank Lampard kutawapa motisha watakapokutana na Real Madrid kwenye mechi ya robo fainali ya UEFA mkondo wa kwanza Jumatano Aprili 12 ugani Bernabeu.
 

Serie A - SS Lazio v Juventus FC 

06/04/2023 18:03:32
SS Lazio watamenyana vikali na Juventus FC kwenye mechi ya ligi kuu Italia ugani Stadio Olimpico Aprili 9.
 

EPL - Liverpool v Arsenal

06/04/2023 17:41:53
Arsenal wanatarajia kupiga jeki azma ya kushinda taji la Premier tangu msimu 2003-04 watakapocheza na Liverpool ugani Anfield Jumapili Aprili 9.
 

La Liga - Real Madrid v Real Valladolid 

31/03/2023 13:11:47
Real Madrid na Real Valladolid watamenyana vikali kwenye mechi ya ligi kuu Uhispania ugani Estadio Santiago Bernabéu Aprili 2 wakiwa na lengo la kutetea taji hilo.
 

EPL - Manchester City v Liverpool

29/03/2023 17:21:56
Manchester City inatarajia kupiga jeki azma yake ya kutwaa ubingwa wa ligi ya Premier watakapoalika Liverpool ugani Etihad Stadium Jumamosi Aprili mosi.