BETWAY Tanzania Home
Local
International
Home
Soka
Ligi Kuu
Njia ya
Michezo Mingine
CSR
Winners
Football
La Liga - Real Madrid v Atletico Madrid
24/02/2023 16:56:39
Real Madrid watakutana na watani wao Atletico Madrid kwenye mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Februari 25 ugani Estadio Santiago Bernabéu.
EPL - Tottenham Hotspur v Chelsea
24/02/2023 16:51:55
Tottenham wanatarajia kupata ushindi wa nne katika mechi tano za ligi watakapoialika Chelsea ugani Tottenham Hotspur Stadium Jumapili Februari 26.
LaLiga - Atletico Madrid v Athletic Bilbao
15/02/2023 17:29:25
Atletico Madrid itakuwa mwenyeji wa Athletic Bilbao katika mechi ya ligi ugani Estádio Cívitas Metropolitano Februari 19.
EPL - Manchester United v Leicester City
15/02/2023 15:18:27
Manchester United wanatazamia kuendeleza azma yao ya kushinda taji la ligi watakapowakaribisha Leicester City ugani Old Trafford Jumapili Februari 19.
Februari Burudani
10/02/2023 15:48:57
Jiandae na mwezi wa pira biriani, Februari! Wakati ligi zote kubwa duniani zikipamba moto, na vilabu vikubwa vikichuana kuwania taji.
Serie A - UC Sampdoria v Inter Milan
08/02/2023 13:22:58
UC Sampdoria watakuwa mwenyeji wa Inter Milan katika mechi ya ligi kuu Italia Serie A ugani Stadio Comunale Luigi Ferraris Februari 13.
EPL - Liverpool v Everton
08/02/2023 11:27:21
Everton wana nafasi kubwa ya kupata ushindi dhidi ya Liverpool katika dabi ya 242 ya Merseyside watakapokutana kwenye mechi ya ligi ugani Anfield Jumatatu Februari 13.
City na Spurs kutibua vumbi, mechi ya ligi
01/02/2023 10:35:32
Manchester City wanatazamia kuendeleza shinikizo kwa viongozi wa ligi Arsenal watakapo safari kucheza na Tottenham Jumapili Februari 5.
Barcelona na Sevilla kumenyana kwenye mechi ya La liga
01/02/2023 10:23:45
FC Barcelona wataalika Sevilla FC ugani Spotify Camp Nou kwa ajili ya mechi ya ligi mnamo Februari 5.
Gunners kukabiliana na City, FA
26/01/2023 09:48:34
Arsenal wanatarajia kuendeleza msururu wa matokeo mazuri watakapokabiliana na Manchester City kwenye kombe la FA raundi ya nne ugani Etihad Stadium Ijumaa Januari 27.
|<
<
...
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
...
>
>|