11/02/2022 08:54:34
The Charlotte Hornets na Memphis Grizzlies watamenyana mnamo Jumapili tarehe 13 Februari 2022 katika mechi ya NBA, Spectrum Center, Charlotte iliyopo North Carolina. Mechi inatazamiwa kuanza saa nane kamili majira ya Afrika ya kati.