Hakimiliki ya picha: Getty Images
Phoenix Suns v New York Knicks
2021-22 NBA Regular Season
Saturday 5 March 2022
Footprint Center, Phoenix, Arizona
Tip-off at 06:00
The Phoenix Suns watapania kuwazima the New York Knicks watakapokutana katika mechi ya NBA kwenye ukumbi wa Footprint Center, Phoenix, Arizona Machi 5 2022 Jumamosi. Mechi itaanza saa kumi na moja asubui majira ya Afrika ya kati.
The Suns wanaendelea kuonyesha ubabe wao Western Conference huku wakipania kushinda taji hilo baada ya kumaliza katika nafasi ya pili nyuma ya Milwaukee Bucks msimu uliopita.
Hata hivyo, Phoenix watakosa huduma za mchezaji mahiri Chris Paul aliyepata jeraha katika kidole gumba na anaweza kurejea baada ya msimu lakini kocha Monty Williams anaamini timu yake itafanya vizuri licha ya kumkosa CP3.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Nilijua tutaendelea kuonyesha mchezo mzuri,” alisema Williams. “Lakini sikuona tukishinda mechi nyingi hivi. Sikumbuki kama niliwai kushinda mechi nyingi hivi nikiwa mchezaji au kocha. Niliwaambia wachezaji hivi. Lazima utafurahia.”
Kwa upande mwingine, The Knicks wamekuwa na matokeo mesto Eastern Conference baada ya kuwa na msimu usio mzuri hadi kufikia sasa. Kocha Tom Thibodeau yupo chini ya shinikizo na amekiri kuwa hatachelea kufanya maamuzi magumu katika kuchagua timu.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Ni sharti nifanye maamuzi kulingana na bidii ya mchezazi. Ni wajibu wa mchezaji kuonyesha kuwa anafaa kupewa nafasi ya kucheza. Fanyia kazi nafasi yako.”
Kuachia ushindi wanapoongoza limekuwa tatizo kubwa kwa New York. “Inaumiza,” alisema mchezaji Taj Gibson. “Kuachia ushindi mkubwa hizi ni tatizo la kukosa umakini. Inahitaji kujituma zaidi na kuonyesha ukakamavu na hatujaweza kuonyesha hilo siku za hivi karibuni.”
Historia baina ya timu hizi inaonyesha zimekutana mara 133 katika mechi za NBA tangu msimu 1968-69. Phoenix wameshinda mara 69 huku New York wakishinda mara 64. Mara ya mwisho zilikutana Novemba 2021. The sun walishinda 118-97 wakiwa ugenini ambapo Devin Booker alichangia alama 32. Huu ulikuwa ni ushindi wa saba mfululizo kwa Suns dhidi ya New York.
Takwimu baina ya Phoenix Suns na New York Knicks, NBA.
Mechi: 133
Suns: 69
Knicks: 64
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.