Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 Genesis Open
US PGA Tour
Riviera Country Club
Pacific Palisades, California, USA
17-20 February 2022
Bubba Watson anatazamia kuweka historia atakaposhiriki shindano la golfu la mwaka huu la
Genesis Open, Riviera Country Open.
Mmarekani huyo ameshinda shindano hilo mara tatu; 2014, 2016 na 2018 na sasa ana nia ya kujiunga na wachezaji wakubwa katika historia kwa kushinda mara ya nne.
Iwapo atafanikiwa kushinda shindano la mwaka huu, Watson ataungana na Macdonald Smith na Lloyd Mangrum na kuwa wachezaji walioshinda shindano hili mara nne kila mmoja.

Hakimiliki ya picha: Getty Images
Watson alishinda taji la kwanza la Genesis Open mwaka 2014 kwa kumshinda mchezaji wa pili Dustin Johnson.
Watson alimaliza katika nafasi ya pili kwenye shindano la golfu la 2022 PIF Saudi International wiki iliyopita na ilikuwa ni nafasi ya juu tangu aliposhinda shindano la Travellers 2018.

Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Ni vyema kabisa. Nimepumzika vya kutosha na kiakili niko sawa kabisa na nina uwezo wa kucheza. Japokuwa umri umeenda kidogo bado niko na nguvu za kupambana na vijana hawa,” alisema Watson.
"Nilikuwa na nafasi kubwa ya kushinda lakini aliongeza umakini kidogo na kuwa na sekunde chache za umahiri na kupata ushindi. Ulikuwa mchezo wa kusisimua sana.”
Washindi 5 wa mwisho wa shindano la Genesis Open
2017 - Dustin Johnson - Marekani
2018 - Bubba Watson - Marekani
2019 - J.B Holmes - Marekani
2020 - Adam Scott - Australia
2021 - Max Homa – Marekani
Bashiri Gofu na Betway
Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.

Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.