16/11/2023 09:48:09
Tanzania tayari imekata tiketi ya AFCON 2023 na tuko tayari kushuhudia uwezo wa mastaa wetu wa Taifa Stars ndani ya Côte d'Ivoire. Wakiwa katika maandalizi ya kupambana na magwiji wa Afrika, Betway iko tayari kukupa odds bomba za AFCON, ili kuongeza mzuka na msisimko wa mashindano.