Football

KWA SIMBA HII YA MGUNDA TUNAMFUNGA AL AHLY NNJE NDANI...UBINGWA UKO WAZI KWETU

21/05/2024 17:12:05
Katika msimamo wa Ligi, Yanga wanaongoza wakiwa na alama 68 katika michezo 25, Azam nafasi ya pili alama 57 na michezo 26 huku Simba wakiwa nafasi ya tatu na alama 57.
 

HIVI NDIVYO SIMBA 'WALIVYOGALAGAZWA' NA YANGA KILA KONA MSIMU HUU

20/05/2024 16:26:05
Achana na Simba kukosa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2021/22, 2022/23 na msimu huu, lakini wana Msimbazi wamepitia nyakati ngumu zaidi
 

KUHUSU AYOUBU KUBAKI AU KUSEPA SIMBA...UKWELI UNAOPASWA KUJUA HUU HAPA...

17/05/2024 16:09:08
Taarifa za uhakika zilizotufikia ni kuwa baadhi ya wachezaji mikataba yao imefikia ukingoni akiwemo Kipa (Ayoub) ambaye ameridhia kuendelea kusalia ndani ya Simba

BARBARA KUCHUKUA NAFASI YA TRY AGAIN SIMBA...ISHU NZIMA HII HAPA

19/04/2024 15:49:32

ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Barbara Gonzalez na Sued Mkwabi wametajwa mmoja wapo huenda akaja kuchukuwa nafasi ya Mwenyekiti 

KUELEKEA YANGA vs SIMBA KESHO...HAYA HAPA UNAYOPASWA KUJUA KABLA YA MECHI

19/04/2024 11:49:44
Katika mchezo wa kesho Yanga watakuwa wenyeji wa mchezo huo baada ya Simba kuwa mwenyeji katika mchezo wa mzunguko wa kwanza na kukubali kichapo cha mabao 5-1

EPL - Fulham v Liverpool

17/04/2024 11:02:39
Liverpool wanapania kuimarisha ndoto zao za kushinda taji la ligi kuu England watakapokabiliana na Fulham ugani Craven Cottage Jumapili Aprili 21.
 

CHE MALONE- NINAHITAJI CHANGAMOTO MPYA...NITACHEZA KLABU ZAIDI YA SIMBA

12/04/2024 15:09:07
Simba SC imeelekeza nguvu kwa sasa katika  Ligi Kuu huku Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha akiachiwa kazi ya kuanza kusuka upya kikosi kwa msimu ujao
 
 

EPL - Chelsea v Manchester United

12/04/2024 14:59:48
Real Mallorca watamenyana na Real Madrid kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania mnamo Aprili 13 ugani Estadi Mallorca Son Moix wakiwa na lengo la kuzima ubabe wa Los Blancos.
 

ENG HERSI: HATUNA WA KUMDAI KWA KILICHOTOKEA CAF

11/04/2024 17:32:38
Kwenye mchezo huo Young Africans walifungwa kwa mikwaju ya Penati 3-2 kufuatia sare ya bila kufungana dakika 90 za mchezo huo katika Uwanja 

KISA PACOME...GAMONDI AWAPIGA MKWARA MAMELOD...

04/04/2024 14:43:58
Katika mchezo wa mkondo wa kwanza timu hiyo iliwakosa Pacome, Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Yao Attohoula kwa sababu ya kuwa majeraha na kuukosa mechi hiyo uliochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kwa timu zote