Football

BAADA YA OKRAH....MASHINE INAYOFUATA KUTAMBULISHWA YANGA NI HII.....

12/01/2024 15:01:13
Ofisa habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema baada ya kufanikiwa kumtambulisha Okrah, kazi bado inaendelea na wanaleta mtu hatari eneo la mshambuliaji ambaye anakuja

EPL - Manchester United v Tottenham Hotspur

12/01/2024 14:38:05
Tottenham watakabiliana na Manchester United katika mechi ya ligi ugani Old Trafford mnamo Januari 14 siku ya Jumapili. 

TRY AGAIN: MCHEZAJI YOYOTE ATAKAYEHITAJIKA NA BENCHIKHA ATASAJILIWA HARAKA

29/12/2023 17:17:09
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ ameweka wazi kuwa watahakikisha kuwa

KISA USHINDI WA JUZI MBELE YA WAGHANA...GAMONDI KAJA NA HILI YANGA

29/12/2023 17:13:37
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema amepata mwanga na matarajio yake kuona mabadiliko makubwa

HIZI HAPA MBINU 'HARAMU' ZA BENCHIKHA ZILIZOIMALIZA WYADAD JANA

20/12/2023 16:06:43
ACHANA na ubora wa kipa wa Simba, Ayoub Lakred aliouonyesha jana habari ya mjini ni mbinu za kijeshi za kocha wa timu hiyo Belhack...
 

RASMI: TANZANIA KUANDAA MASHINDANO YA CHAN 2024...CAF WATIA BARAKA

20/12/2023 15:55:00
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini, Wallace Karia amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zitakazoandaa

Serie A - AS Roma v SSC Napoli 

20/12/2023 15:48:50
AS Roma itakabiliana na SSC Napoli katika mchezo wa kusisimua wa ligi kuu Italia ugani Stadio Olimpico Desemba 23.
 

KIFAA HIKI KIPYA KUTOKA MOROCCO NACHO KINATUA MSIMBAZI...

20/12/2023 15:22:37
WAKATI Simba inashuka dimbani kesho dhidi ya Kagera Sugar, Uongozi wa timu hiyo umefunga kuhusu kuhusishwa na usajili...

MASTAA HAWA KUKOSEKANIKA MECHI vs MADEAMA YA GHANA

11/12/2023 10:51:14
Yanga imefanikuwa kucheza mechi mbili ambazo ni dakika 180 imekusanya alama moja na inapeperusha bendera ya Tanzania katika michuano hiyo ina...

BENCHIKHA APANGA KUWAFANYIA 'MAJAMBOZI' MASTAA SIMBA

11/12/2023 10:44:34
KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha amekiri kuna mambo mengi anatakiwa kuyafanyia kazi ili kikosi chake kiwe imara