25/03/2024 13:37:47
Chama aliyekuwa amesimamishwa na uongozi kwa tuhuma za utovu wa nidhamu sambamba na kiungo Nassor Kapama aliyepo Mtibwa Sugar kwa sasa, tangu amerejea kwenye fainali za Afcon 2023 alipoenda na timu ya taifa ya Zambia na kuishia makundi