Michezo Mingine

Elaine Thomson-Hera aweka historia tena kwa ushindi mara mbili

11/08/2021 09:16:37
Michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 ilimalizika mwishoni mwa wiki, ikahitimisha majuma mawili ya michuano kwenye michezo mbali mbali katika mji mkuu wa Japan

Fabio Quartararo apania kuendlea kuongoza

05/08/2021 09:20:23
Mwendeshaji Pikipiki wa timu ya Monster Energy Yamaha Fabio Quartararo anatazamia kuendelea kuongoza Mashindano ya Dunia ya mbio za pikipiki

Zote za kukimbia kwa mens 4x100m

05/08/2021 09:13:02
Mbio za wanaume za 4x100m kupokezana vijiti zinatarajiwa kuwa kivutio kikubwa kwenye michezo wa Olimpiki mjini Tokyo, lakini imekuwa vigumu kubashiri  nani wataibuka mabingwa.  

Matazamio ya Afrika kwenye Olimpiki wiki hii

04/08/2021 11:40:11
Mwanariadha wa Burkina Faso Fabrice Zango anatarajiwa kushiriki hatua ya mchujo   kuruka umbali mara tatu (Triple Jump) kwenye michezo ya Olimpiki inayoendelea nchini Japan, Agosti 3.