Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 MotoGP Season
2022 Japanese Grand Prix
Round 16
Mobility Resort Motegi
Motegi, Japan
Sunday, 25 September 2022
Mbio za pikipiki za 2022 za
Japanese Grand Prix ambazo pia zinaitwa Motul Grand Prix of Japan zinatarajiwa kung’oa nanga mjini Motegi Septemba 25.
Huu utakuwa mzunguko wa kumi na sita wa mashindano ya mwaka huu na utafanyika kwenye Mobility Resort Motegi.
Mara ya mwisho mashindano haya kufanyika nchini Japan ilikuwa mwaka 2019.
Washindi wa mbio hizo wakati huo walikuwa Marc Marquez wa Honda katika nafasi ya kwanza huku nafasi ya pili na tatu zikichukuliwa na Fabio Quartararo wa Yamaha na Andre Dovizioso wa Ducati mtawalia.
Mbio za hivi majuzi ya msimu huu wa 2022 MotoGP zilikuwa Aragon MotoGP zilizoandaliwa Septemba 18.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Enea Bastianini wa Ducati aliibuka na ushindi kwenye mbio za Aragon MotoGP na kumshinda mwendeshaji mwenza Francesco Bagnaia aliyekuwa ameshinda mbio nne mfululizo msimu huu.
Bagnaia wa Ducati alimaliza katika nafasi ya pili nchini Uhispania huku nafasi ya tatu ikitwaliwa na mwendeshaji wa Aprilia Aleix Espargaro kwenye mbio hizo za kuvutia.
Katika jedwali la waendeshaji la msimu huu wa 2022, Quartararo anashikilia nafasi ya kwanza akiwa na alama 211 baada ya kulazimika kujiondoa katikati mwa mbio za Aragon MotoGP.
While Bagnaia and Espargaro are placed second and third on the standings with 201 points and 194 points respectively, while Bastianini is placed fourth with 163 points.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Ni ushindi mkubwa ambao haukuja kwa urahisi. Kama ilivyokuwa Misano, Bagnaia hakufanya makosa yoyote,” alisema Bastianini way a kushinda mbio za Aragon MotoGP.
"Nilipata nafasi wakati ule na kuitumia. Nilikuwa karibu na niliona nafasi ya kupenya kisha nikaitumia. Nahitaji kudumisha kasi hii katika mbio tano za mwisho.
"Sijawai kushiriki mashindano ya pikipiki nchini Japan na pikipiki ya MotoGP ila natamani kufanya vizuri na kuwa kwenye jukwaa.”
Ducati wanaongoza kwenye jedwali la waundaji huku wakifuatiwa na Aprilia kisha nafasi ya tatu inatwaliwa na Yamaha.
Matokeo ya mbio za 2019 za Japanese MotoGP
Mshindi: Marc Marquez - Honda
Nafasi ya pili: Fabio Quartararo - Yamaha
Nafasi ya tatu: Andre Dovizioso - Ducati
Bashiri Motosport na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni soka, motorsport, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.