Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara | Betway


Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu Betway

 
Iwapo wewe ni mgeni kwenye michezo ya kubashiri mtandaoni au umekuwa ukibashiri kwa muda mrefu, wakati fulani kila mmoja anahitaji msaada. Tumeweka pamoja vidokezo na taarifa muhimu kuhusu maswali yetu yanayoulizwa mara kwa mara ikiwemo maswali ya akaunti, kutoa fedha na manenosiri.
 

Je, ninaundaje akaunti?

Kuunda akaunti mpya ni kwa haraka na rahisi. Fuata muongozo huu ili kuanza
 
  • Kwenye ukurasa wa nyumbani bofya kwenye Sajili
  • Andika namba ya simu ya mkononi, nenosiri na anwani ya barua pepe
  • Ikiwa una msimbo wa tangazo, gonga kisanduku kwa ajili ya misimbo ya kujisajili kisha uandike huo msimbo
  • Ikiwa una umri wa miaka zaidi ya 18 na unakubaliana na Vigezo na Masharti ya Betway, gonga Kubali
  • Gonga Sajili ili kukamilisha mchakato
 

Nina maswali kuhusu salio langu

Kwa nini amana yangu haionekani kwenye akaunti yangu ya Betway?

 
Inawezekana kwamba salio lako jipya halionekani kwenye ukurasa wa nyumbani. Tafadhali bofya kwenye kitufe cha Fedha upande wa kulia kwa juu kwenye skrini yako ili kuonyesha upya salio langu.
 

Je, Ubashiri wako wa Bila Malipo hauonekani kwenye akaunti yako ya Betway?

 
Kwa njia ileile ya salio lako la fedha, inaweza kuwa kwamba salio lako jipya la Ubashiri wa Bila Malipo halionekani kwenye ukurasa wa nyumbani. Tafadhali bofya kwenye kitufe cha Ubashiri wa Bure upande wa kulia juu (mbele ya kitufe cha “Fedha”) wa skrini yako ili kuonyesha upya salio lako.
 
Benki
 
Jinsi ya kuweka amana
 
Mara baada ya kuingia kwenye akaunti yako ya Betway, bofya kwenye Akaunti Yangu, kisha bofya kwenye Weka Fedha utaona orodha ya njia za kuweka amana zilizopo. Chagua njia uipendayo ya kuweka amana kisha fuata hatua zake ili kuweka amana kikamilifu.

Tembelea ukurasa wetu wa Benki ili kupata maelezo zaidi kuhusu njia zetu mbalimbali za za kuweka amana kwa simu ya mkononi.
 
Je, njia gani za kuweka amana ambazo mnatoa?
 
Kwa sasa tunapokea amana kutoka Airtel, Tigo na Selcom Huduma.
 
Tafadhali zingatia muda wa kushughulikia kila kila njia ya kuweka amana kwenye ukurasa wa benki. Ikiwa umeweka amana na haionekani kwenye akaunti yako baada ya muda wa kawaida wa kushughulikia amana kupita, tafadhali wasiliana na Timu yetu ya Msaada ili tuweze kukusaidia kupata ufumbuzi.
 
Je, ninawezaje kutoa fedha zangu?
 
Ili kuomba kutoa fedha, unapaswa kuingia kwenye akaunti yako ya Betway, bofya au gonga kwenye  Akaunti Yangu kisha kwenye Toa Fedha. Kuanzia hapo, utaanza kuona orodha kamili ya njia zilizopo za kutoa fedha, unachotakiwa kufanya ni kuchagua njia ambayo inakufaa zaidi kisha fuata maelekezo kwenye skrini.
 
Mara tu baada ya ombi lako la kutoa fedha kuwasilishwa utapokea ujumbe wa uthibitisho.
 
Tafadhili kumbuka: Unapaswa kuweka angalau amana moja na kuweka angalau ubashiri mmoja kabla ya kustahiki kutoa fedha yoyote.
 
Tembelea ukurasa wetu wa Benki ili kupata maelezo zaidi kuhusu njia zetu mbalimbali za kutoa fedha.
 
Kwa nini fedha zangu za ushindi hazionekani kwenye akaunti yangu?
 
Kunaweza kuwa na mambo kadhaa yanayosababisha fedha zako za ushindi kutoonekana kwenye akaunti yako. Hiya hapa chini ni baadhi ya mambo ya kawaida zaidi yanayoweza kusababisha hili:
 
  • Mchezo mmoja au zaidi kwenye mkeka wako hauna matokeo
  • Baadhi ya ligi zinachukua muda mrefu kuthibitisha matokeo
  • Kwa sababu ya matengenezo kwenye tovuti ya Betway, kwa upande wa washirika wa kibenki, au kwa sababu nyingine zisizoonekana za kiufundi katika pande zote
  • Ratiba moja au zaidi kwenye mkeka/mikeka yako ilipoteza chaguzi
 
IIwapo michezo yote kwenye mkeka wako ina matokeo, tafadhali subiri hadi saa moja ili fedha za ushindi kuonekena. Nawasiliana nasi ikiwa bado hujapata fedha za ushindi kwenye akaunti yako ya Betway.
 
Kwa nini nilipoteza ubashiri wangu?

Sababu inaweza kuwa aina/soko la ubashiri ulilochagua sio lile ulilokuwa ukilifikiri. Ushauri wetu ni kwamba mara zote chunguza mara mbili na hakikisha unaielewa aina ya ubashiri unayotaka kuweka. Unakaribishwa sana kuwasiliana nasi ikiwa una tatizo lolote katika suala hilo.
 
Kwa nini siwezi kuweka ubashiri?
 
Hii inaweza kuwa kwa sababu ya kupita muda wa muunganisho kwenye kifaa cha mkononi au kompyuta yako. Tunapendekeza kwamba uchukue hatua zifuatazo ili kutatua tatizo:
 
  • Toka kwenye akaunti yako ya Betway
  • Futa kache na vidakuzi kwenye kivinjari chako cha intaneti halikadhalika faili za muda
  • Ingia tena kisha jaribu tena
  • Ikiwa tatizo lipo tafadhali jaribu kwenye kifaa au kompyuta tofauti, na angalia kama muunganisho wa intaneti unafanya kazi
  • Ikiwa tatizo bado halijatatuliwa tafadhali wasiliana nasi na hakikisha una ujumbe halisi wa tatizo, orodha ya machaguo yako ya ubashiri na picha ya skrini ikionyesha tatizo
 
Wafanyakazi wetu karimu wapo 24/7/365 na unaweza Kuwasiliana Nasi kupitia majukwaa mbalimbali kuhusiana na tatizo lolote unaloweza kuwa nalo.
 
Nawekaje nenosiri langu?
 
Kuweka upya nenosiri lako ni kwa haraka na rahisi. Ikiwa umesahau nenosiri lako, fuata hatua hizi ili kuunda nenosiri jipya:
 
  • Kwenye ukurasa wa nyumbani, bofya Nimesahau Nenosiri
  • Andika namba yako ya simu kisha bofya au gonga kwenye Weka Upya Nenosiri
  • Tutakutumia msimbo ujumbe wa maandishi. Andika msimbo huu kwenye sehemu ya Msimbo wa Kuweka Upya Nenosiri
  • Andika nenosiri lako jipya kisha bofya kwenye Omba Kuweka Upya Nenosiri
 
Maswali ya Kubashiri
 
Jinsi ya kubashiri?
 
kurasa wetu wa michezo umesheheni matukio ya michezo uipendayo na mashindano makubwa.
 
Ili kuweka ubashiri utatakiwa kuingia kwenye akaunti yako, mara baada ya kuingia, kichupo cha michezo iliyopo ya kubashiri itaonekana, hii inapangiliwa kulingana na umaarufu kwa kila ukanda.
 
  • Kwenye ukurasa wa nyumbani, bofya kwenye alama ya mchezo unaotaka kubashiri
  • Tafuta ligi na mechi unazotaka kubashiri
  • Chagua matokeo
  • Kamilisha mkeka wako wa kubashiri
  • Bofya au gonga kwenye Bashiri Sasa
 
Natumiaje Ubashiri wa Bure?
 
  • Ingia kwenye akaunti yako ya Betway
  • Bofya kwenye alama ya mchezo unaotaka kubashiri
  • Chagua ligi, mechi na matokeo
  • Kisha bofya kwenye Tumia Ubashiri wa Bure
  • Thibitisha ubashiri wako
 
Ninatazamaje Historia ya Ubashiri wangu?
 
  • Ingia kwenye akaunti yako ya Betway
  • Bofya kwenye kichupo cha Akaunti Yangu upande wa kulia juu
  • Bofya kwenye kichupo cha Ubashiri Wangu
  • Kichupo cha Bashiri Zilizo Wazi kitajaza bashiri ambazo bado hazina matokeo, huku Bashiri Zilizokamilika hujaza bashiri zenye matokeo au zilizokamilika
 
Je, kuna promosheni gani?
 
Kuanzia ofa za fedha na Ubashiri wa Bure, hadi safari zote za gharama kutazama timu uzipendazo zikicheza, tunaendesha promosheni kabambe na za kusisimua mwaka mzima. Hakikisha unaangalia ukurasa wa href Promosheni ili kujulishwa kuhusu ofa mpya.
 
 
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Ubashiri wa Michezo
 
Je, michezo gani ninaweza kubashiri?
 
Betway inatoa masoko kwenye timu, wachezaji, na ligi zote uzipendazo. Kuanzia soka hadi , unaweza kubashiri yote kwenye ukurasa Mchezo
 
Unabashirije bila kupoteza?
 
Kama ilivyo kwenye mchezo, kupoteza ni sehemu ya kubashiri. Unaweza kupunguza hatari yako kwa kubashiri kwenye michezo na masoko ambayo unayafahamu na kwa kufanya utafiti wako kabla ya kuweka ubashiri wowote. Kumbuka, hakuna kutu kama hicho cha ubashiri wa uhakika na mara zote unapaswa kubashiri kile unchoweza kukimudu.
 
Je, mchezo gani ni rahisi kubashiri?
 
Hakuna hakikisho kwenye mchezo na lolote linaweza kutokea. Ni muhimu wakati wote kufanya utafiti kabla ya kuweka ubashiri.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway

Published: 09/21/2021