Jinsi ya kuweka upya nenosiri lako
Tuko pamoja, uko tayari kuingia kwenye akaunti yako ya Betway lakini kwa sababu fulani huwezi kukumbuka nenosiri lako. Na karibu kila tovuti inahitaji nenosiri la pekee, inaweza kuwa vigumu kukumbuka nenosiri lipi linatumika kwenye tovuti gani.
Ikiwa umesahau nenosiri lako la Betway, usiwe na shaka, tutakusaidia. Kuweka upya nenosiri lako ni kwa haraka na rahisi. Fuata muongozo wetu hapo chini ili kuweka nenosiri jipya:
Weka upya nenosiri kwa hatua 5 rahisi
- Kwenye ukurasa wa nyumbani, bofya au gonga kwenye Ingia kisha andika <strong>namba yako ya simu ya mkononi
- Bofya au gonga kwenye Nimesahau nenosiri?
- Kwenye ukurasa wa Weka Upya Nenosiri, andika tena namba yako ya simu ya mkononi kisha gonga Weka Upya Nenosiri
- Utapelekwa kwenye ukurasa unaofuata na utapokea Msimbo wa Kuweka Upya Nenosiri. Andika msimbo huu kwenye ukurasa wa Kuweka Upya Nenosiri, kisha chagua nenosiri jipya.
- Gonga Weka Upya Nenosiri na nenosiri lako litakuwa limebadilishwa.
Ikiwa una maswali yoyote au unahitaji msaada wowote kuhusu kuweka upya nenosiri lako, jisikie huru
kuwasiliana nasi wakati wowote, na mfanyakazi wetu mbobevu wa msaada atafurahia kukusaidia. Vinginevyo, unaweza
kuangalia mara kwa mara kwenye Miongozo yetu ya Jinsi Ya kwa maelezo ya kina ya jinsi ya kubashiri kwenye michezo uipendayo, jinsi ya kuongeza salio kwenye akaunti yako jinsi ya kutoa fedha na jinsi ya kuweka upya nenosiri.
Bashiri kwenye michezo maarufu zaidi duniani
Kuanzia viwanja vya kifahari vya Theatre of Dreams hadi kwenye viwanja vigumu vya Australian Open, tunapenda kila kitu kuna upendo kuhusu mchezo.
Ni upendo uleule unaotusukuma kukupatia nafasi bora zaidi, katika michezo yako yote uipendayo ikiwemo
soka,
mpira wa kikapu,
kriketi,
hoki ya barafuni,
masumbwi na mingine mingi. Tembelea ukurasa wa
mchezo ili kuona orodha kamili ya michezo ambayo unaweza kubashiri.
Promosheni za Kusisimua
Kuanzia Bashiri za Bure hadi safari za gharama zilizolipiwa kutazama timu zako uzipendazo zikicheza katika uwanja wa nyumbani, tunaendesha promosheni mbalimbali za kusisimua mwaka mzima. Endelea kuhabarika kuhusu promosheni na ofa mpya kwa kutembelea ukurasa wetu wa
promosheni.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway