Jinsi ya Kuweka Amana| Betway kampuni ya ubashiri wa michezo mtandaoni


Kuweka fedha kumefanywa rahisi na Betway

 
Betway limekuwa jukwa linaloongoza la ubashiri wa michezo likikuleta karibu na mchezo kwa kukuwezesha kiurahisi kupata matukio mbalimbali ya michezo kwa kugonga tu kitufe kwenye vifaa mbalimbali kama vile simu ya mkononi, kompyuta na kupitiaapp ya Betway.
 
Tunaendelea kutafuta njia za kuboresha hali na huduma zetu ili kukurahisishia zaidi kuweka salio kwenye akaunti yako na bashiri kwenye timu na wachezaji uwapendao kwa haraka.
 
Kuweka salio kwenye akaunti yako na kufanya iwe tayari kwa mechi, tunatumia njia mbalimbali salama za kuweka amana kwa ajili yako. Njia zetu zote za kuweka amana zinalindwa na teknolojia ya hali ya juu duniani ili kuhakikisha taarifa zako binafsi zinalindwa wakati wote.
 
 

Kwa nini njia za kuweka amana zipo?

 
Sajili akaunti mpya leo kisha anza safari yako ya ubashiri wa michezo kwa mtindo na Betway. Mara baada ya akaunti yako kuwa tayari kwa ajili ya matukio, unaweza kuweka amana kwa njia yoyote kati ya miamala hii ya simu.
 
  • Vodacom
  • Airtel
  • Tigo
 

Jinsi ya kuweka amana?

 
Weka amana kwenye akaunti yako ya Betway kwa kutumia hatua rahisi:
 
  • Tembelea betway.co.tz kisha ingia kwenye akaunti yako
  • Gonga Weka Amana kwenye ukurasa wa nyumbani
  • Chagua njia yako uipendayo ya kuweka amana kisha fuata maelekezo
  • Mara baada ya kuweka amana kukamilika, utapokea ujumbe mfupi wa maandishi wa uthibitisho
 
Mara baada ya amana kuthibitishwa, elekea kwenye ukurasa wa nyumbani ambako utaweza kupata matukio mbalimbali ya michezo ikiwemo soka, tenisi, ragbi, mpira wa kikapu na mingine mingi.
 
Iwapo unakabiliwa na tatizo lolote kuhusiana na amana zako, jisikie huru kuwasiliana na timu yetu ya msaada 24/7.
 
Wasiliana nasi kwa kutumia:
 
  • Gumzo Mubashara
  • Simu ya pamoja
  • Barua pepe
  • Whatsapp
  • Facebook
  • Twitter



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway

Published: 09/21/2021