Jinsi ya kutoa fedha zako za ushindi
Umechunguza mechi, umefanya kazi ya nyumbani, na umeweka ubashiri wa ushindi, sasa unataka kufurahia ngawira na kutoa fedha zako za ushindi. Kudai fedha zako za ushindi ni kwa haraka, rahisi na salama kwa kutumia njia zetu za kutoa fedha
Jinsi ya kutoa fedha kwa kutumia Muamala wa Simu
Miongoni mwa njia rahisi kabisa za kutoa fedha zako za ushindi ni kwa kutumia Muamala wa Simu. Fuata hatua hizi ili kuanza:
- Kwenye ukurasa wa nyumbani, ingia kwenye akaunti yako ya Betway kisha bofya au gonga kwenye Akaunti Yangu
- Chagua Toa Fedha
- Chagua Muamala wa Simu kisha chagua mtoa huduma wako
- Andika namba yako ya simu ya mkononi na kiasi unachotaka kutoa
- Bofya au gonga kwenye Toa Fedha Sasa
Jinsi ya kutoa fedha kwa kutumia Huduma
Ikiwa ungependa kutumia Huduma kutoa fedha zako za ushindi, muongozo huu utakuonyesha jinsi ya kutoa:
Je, unahitaji msaada?
Ikiwa una maswali yoyote au unahitaji msaada wowote kuhusu kutoa fedha zako, jisikie huru
kuwasiliana nasi wakati wowote, na mfanyakazi wetu mbobevu wa msaada atafurahia kukusaidia. Vinginevyo, unaweza kuangalia mara kwa mara kwenye Miongozo yetu ya Jinsi Ya kwa maelezo ya kina ya jinsi ya kubashiri kwenye michezo uipendayo, jinsi ya kuongeza salio kwenye akaunti yako jinsi ya kutoa fedha na jinsi ya kuweka upya nenosiri.
Bashiri kwenye timu, wachezaji, jigi uzipendazo
Ikiwa una mapenzi makubwa na au haiwezi kupita dakika kumi bila kutazama tukio jipya la
tenisi, unaweza kubashiri kwenye timu, wachezaji na ligi zote uzipendazo kwa nafasi bora zaidi na Betway.
Tembelea ukurasa wa mchezo kwa ajili ya orodha kamili ya kila kitu unachoweza kubashiri.
Promosheni za Kusisimua
Kuanzia Bashiri za Bure hadi safari za gharama zilizolipiwa kutazama timu zako uzipendazo zikicheza katika uwanja wa nyumbani, tunaendesha promosheni mbalimbali za kusisimua mwaka mzima. Endelea kuhabarika kuhusu promosheni na ofa mpya kwa kutembelea ukurasa wetu wa
promosheni.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya
Betway