Jinsi ya Kubashiri| Betway kampuni ya ubashiri michezo mtandaoni


Jinsi Ya Kubashiri

 
Anza kuweka bashiri zako na Betway njia rahisi, ikiwa unapenda kutumia tovuti na chagua matukio mbalimbali ya michezo au unapenda kubashiri kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi, tupo kwa ajili yako.
 
Tembelea tovuti yetu kisha ingia kwenye akaunti yako ili kubashiri kwa kutumia tovuti ambapo ratiba zaidi ya 1000 zinakusubiri. Unaweza kuipata tovuti ya Betway kwa kutumia simu ya mkononi, kompyuta au kupitia App ya Betway. Weka bashiri zako ndani ya sekunde yaani kwa mibofyo michache.

 

Jinsi ya kubashiri kwa kutumia tovuti

 
Pata ratiba zaidi ya 1000 kwenye tovuti yetu katika Ubashiri wa Moja kwa Moja na kabla ya mchezo, weka ubashiri wako, kaa chini na ufurahie tukio hilo.
 
Weka bashiri zako za kabla ya mchezo kwa kutumia hatua zifuatazo:
 
  • Chagua mchezo ambao ungependa kubashiri 
  • Chagua mchezo au michezo ambayo ungependa kubashiri kwa kutumia njia yoyote kati ya njia hizi tatu rahisi:
  1. Chagua kutoka kwenye dondoo zetu za ratiba zilizochaguliwa kwenye ukurasa wa nyumbani, au angalia michezo ijayo kwa kufuata muda wa kuanza.
  2. Chagua Chagua Ligi ili kuchuja ligi mahususi au ligi ambazo ungependa kubashiri kisha gonga  Sasisha 
  3. Tumia pao ya Kutafuta ili kupata ligi, timu au ratiba  mahususi
   Kidokezo: Mara baada ya kupata mchezo wako, unaweza kugonga Takwimu ili kuona taarifa za kina zinazohusiana na mchezo
  • Aina ya chaguo-msingi la ubashiri ni Matokeo ya Mechi. Ikiwa unataka kuona mambo mengi zaidi, gonga Bashiri Zaidi
  • Fanya machaguo yako na yataongezwa kwenye mkeka wako
  • Kamilisha mkeka wako kisha bofya Bashiri Sasa
 
Weka bashiri zako kwenye Ubashiri wa Moja kwa Moja kwa kutumia hatua zifuatazo:
 
  • Gonga kwenye kichupo cha Moja kwa Moja kwenye ukurasa wa nyumbani au kitufe cha Moja kwa Moja Sasa kwenye ubao juu ya ratiba ili kuona michezo ambayo inachezwa sasa hivi
  • Chagua mchezo ambao ungependa kubashiri
  • Tafuta mchezo au michezo ambayo ungependa kubashiri kwa kutumia moja ya njia mbili rahisi:
  1. Chagua Chagua Ligi ili kuchuja ligi mahususi au ligi ambazo ungependa kubashiri kisha gonga  Sasisha
  2. Pia unaweza kutafuta ratiba au timu mahususi kwa kutumia pao ya Kutafuta
  • Aina ya chaguo-msingi la ubashiri ni Matokeo ya Mechi. Iwapo ungependa kuona mambo mengi zaidi, gonga Bashiri Zaidi
  • Kidokezo: nafasi ziko moja kwa moja na zinabadilika mara kwa mara, ikiwa zinaongezeka, zitageuka kuwa za kijani, ikiwa zinapungua, zitageuka kuwa nyekundu
    Ikiwa utaona alama ya [kufuli], ubashiri kwenye matokeo haya umeondolewa
 
  • Fanya machaguo yako na yataongezwa kwenye mkeka wako
  • Kamilisha mkeka wako kisha gonga Bashiri Sasa
 

Ubashiri wa Ujumbe Mfupi wa Maandishi

 
Hakuna intaneti? Hakuna tatizo. Wewe tumia tu namba yetu ya USSD ili kubashiri, kuweka amana, kutoa fedha na kufanya na kukamilisha kazi nyingine muhimu.
 
Unaweza kuweka kubashiri kwenye Aina hizi za Ubashiri kwa ujumbe mfupi wa maneno:
 
  • Nafasi Mbili,
  • Magoli Sahihi,
  • Timu ya Kwanza Kufunga Goli,
  • Timu Zote Kufunga Goli,
  • Jumla ya Magoli na mengine mengi
 
Kutazama na kupata kazi zote hizi, tembelea ukurasa wetu Jinsi Ya.
 

Ubashiri wa Kuunda

 
Ubashiri wa Kuunda inakupatia uhuru wa kuunda ubashiri wa soka unaotaka kwa kuweka Ubahiri wa Mkusanyiko wa mchezo mmoja na kujumuisha matokeo mengi kutoka kwenye ratiba moja kwenye ubashiri mmoja.
 
Fuata hatua hizi za haraka na rahisi ili kuweka Ubashiri wako wa kwanza wa Kuunda:
 
  • Nenda kwenye betway.co.tz kisha Jisajili au Ingia
  • Bofya au gonga alama ya Soka
  • Tafuta ratiba unayotaka kisha chagua Bashiri Zaidi
  • Chagua Ubashiri wa Kuunda kisha ongeza hadi matokeo 10
  • Bofya au gonga Ongeza kwenye Mkeka
  • Kamilisha mkeka wako kisha bofya au gonga kwenye Bashiri Sasa
 
Kadri unavyoongeza matokeo, ndivyo nafasi yako inavyokuwa kubwa na ndivyo malipo yanavyokuwa makubwa kama utashinda.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway

Published: 09/21/2021