Mbio za pikipiki za Emilia Romagna za mwaka 2021 tayari kung’oa nanga.


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021 MotoGP World Championship Season

Emilia Romagna MotoGP

Round 16
Misano World Circuit Marco Simoncelli
Misano Adriatico, Italy
Sunday, 24 October 2021
 
Mbio za pikipiki maarufu kama MotoGP za Emilia Romagna zitafanyika katika manispaa ya Misano Adriatico iliyoko mkoa wa Rimini nchini Italia
 
Hii itakuwa ni hawamu ya 16 ya mbio za  mwaka huu zitakazofanyika katika mkondo wa Misano World Circuit Marco Simoncelli
 
Mbio za mwaka 2020 za Emilia Romagna zilishindwa na Maverick Vinales anayeiwakilisha Yamaha huku Joan Mir wa Suzuki akichukua nafasi ya pili na Espargaro wa KTM akifunga tatu bora.

Fabio Quartararo
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
Mbio za hivi maajuzi za MotoGP zilitokea Oktoba Machi 2021 Texas, nchini Marekani.
 
Mbio hizo zilishindwa na mwakilishi wa Honda Marc Marquez huku Fabio Quartararo wa Yamaha na Francesco Bagnaia wa Ducati akichukua nafasi ya pili na tatu mtawalia.
 
Kwa ujumla, Quartararo anaongoza katika chati ya mwaka huu wa 2021baada ya kujizolea alama 254 huku zikiwa zimesalia mbio tatu msimu huu kukamilika.
 
Bagnia anayempa ushindani mkali Quartararo yupo nafasi ya pili kwa alama 202 na nafasi ya tatu kwa ujumla inatwaliwa na Mir akiwa na alama 175.

Maverick Vinales
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
“Mipango yetu leo ilikuwa kama ilivyotokea: tuanza mbio kwa umakini kisha mizunguko ya mwanzo iwe tulivu na pindi magurudumu yanapozea mwendo ndipo nitakapoongeza kasi,” alisema Marquez, ambaye yupo nafasi ya saba kwenye jedwali, baada ya kushinda mbio Americas.
 
“Nilifanya vivyo hivyo na kushuhudia kasi yangu ukilinganisha na mizunguko ikiongezeka. Ilikuwa juu kwa dakika mbili na sekunde nne. Nilijihisi vizuri katika kasi hiyo. Katika mizunguko ya mwishoni, nilihisi uchovu mwingi na ilikuwa vigumu kwangu kumakinika lakini Fabio alikuwa nyuma sana na hisia zangu ziliniambia kwamba hawezi kunifikia.
Leo ni siku kubwa. Natoa shukrani zangu kwa timu nzima ya HRC na Repsol Honda kwa kushirikiana na kufanikisha matokeo mazuri wikendi hii.
 
Ducati are placed at the top of Constructors' Championship standings and they are followed by Yamaha and Suzuki respectively.
Kwenye jedwali la Constructors, Ducati wanaongoza, Yamaha wanachukua nafasi ya pili na nafasi ya tatu bora inafungwa na Suzuki.
 

Matokeo ya mashindano ya pikipiki ya Emilia Romagna ya mwaka 2020

 
Mshindi: Maverick Vinales - Yamaha 
Nafasi ya pili: Joan Mir - Suzuki 
Nafasi ya tatu: Pol Espargaro - KTM
 

Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni sokamotorsportmpira wa kikapurugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 10/22/2021