Macho yote kuelekezwa katika mbio za Langa langa 2021, Marekani


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021 FIA Formula One World Championship 

2021 United States Grand Prix

Circuit of the Americas
Austin, Texas, USA 
Sunday, 24 October 2021
 
Mbio za langa langa za 2021 zitafanyika kule Austin ambao ndio mji mkuu wa jimbo la Texas nchini marekani Oktober 24
 
Hii itakuwa ni awamu ya 17 ya msimu wa 2021 wa FIA wa mbio za hizi ambao mizunguko yake itafanyika kwenye miji ya marekani.
 
Mbio za 2020 za Marekani zilifutiliwa mbali kwa sababu ya janga la Covid-19. Valtteri Bottas wa Mercedes alikuwa ndiye mshindi wa mwisho wa 2019.
 
Bottas pia ndiye alikuwa mshindi wa mbio za langa langa za hivi karibuni za 2021 zilizoandaliwa nchini Turkey oktoba 10.

Lewis Hamilton
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
Madereva wawili wa kampuni ya Red Bull, Max Verstappen na Sergio Perez walimaliza katika nafasi ya pili na tatu mtawalia katika mbio hizo za Turkey.
 
Huku zikiwa zimebaki mbio sita tu msimu huu, Verstappen anaongoza katika chati ya 2021 ya madereva baada ya kujizolea alama 262.2
 
Huku mbio hizi zikiendelea kupamba moto, mwakilishi wa Mercedes Lewis Hamilton yupo nafasi ya pili kwa alama 256.5 na nafasi ya tatu inatwaliwa na Bottas akiwa na alama 177
 
Lando Norris wa McLaren anakalia nafasi ya nne kuelekea mbio za marekani akiwa na alama 145.

Max Verstappen
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
 “Nilimaliza katika nafasi ya jukwaani huko Monza licha ya kuadhibiwa; kwenye mbio za Russia, nilikuwa nafasi ya jukwaani ikiwa imebaki mizunguko mitatu,” alisema Perez, anayekalia nafasi ya tano akiwa na alama 135 baada ya mbio za Turkey.
 
 “Leo jumapili sikujihisi vizuri kwenye gari langu. Imekuwa hivi kwenye mbio kadhaa na kiukweli sio vizuri. Kwa njia moja au nyingine nilitarajia.
 “Hatukuwa na kasi ya kuendana na wenzetu wa Mercedes lakini nahisi tulijitahidi kadri ya uwezo wetu na uhakika upo tuaweza kushinda mbio hizi kama tutaendelea vivyo hivyo katika mbio sita zilizobaki.
 
Kwa ujumla, Mercedes wanaongoza, wakifuatwa na RedBull-Honda kisha McLaren anafuata.
 

Matokeo ya 2019 ya mbio za langa langa Marekani.

 
Mshindi: Valtteri Bottas - Mercedes 
Wa pili: Lewis Hamilton - Mercedes
Wa tatu: Max Verstappen - Red Bull Racing-Honda
 

Bashiri Motosport na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni sokamotorsportmpira wa kikapurugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

Published: 10/21/2021