Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Italian Serie A
Matchday 10
Juventus FC v US Sassuolo
Allianz Stadium
Torino, Italy
Wednesday, 27 October 2021
Kick-off is at 19h30
Sassuolo itawaalika Juventus tarehe 27 Oktoba ugani Allianz stadium katika mechi ya ligi ya Italia,
Serie A.
Katika mechi ya ligi iliyopita, bibi kizee kama anavyojulikana kwa jina la utani Juventus, alilazimisha sare ya 1-1 dhidi ya Inter Milan ugenini Oktoba 24.
Matokeo haya yanamaanisha Juventus haijapoteza mchezo wowote wa ligi katika michezo sita waliyocheza huku wakiambulia ushindi mara nne mfululizo na kupata sare mbili.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Katika mechi za nyumbani za ligi, Juventus wameshinda mechi mbili na kutoa sare moja kwenye mechi tatu za mwisho.
Katika mchezo wao na Venezia wa Oktoba 23, Sassuolo walishinda kwa mabao 3-1 wakiwa nyumbani.
Ushindi huo unamaanisha kwamba Sassuolo wameshinda mechi moja na kwenda sare mara moja kwenye michezo miwili ya ligi iliyopita.
Hata hivyo, Sassuolo wamekuwa na matokeo mabaya ugenini katika ligi, wakiwa wamepoteza mechi mbili mfululizo na kwenda sare moja.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Tulianza kipindi cha kwanza vizuri na tukamaliza vizuri. Mchezo wetu ulikuwa endelevu na tunafurahishwa na hali hiyo. Matokeo na ushindi wetu ulitufaa,” alisema meneja wa Sassuolo baada ya ushindi huo.
“Tumefunga mabao katika mechi tano mfululizo na haya ni matunda ya bidii yetu hivyo tunapata raha. Kusudio letu ni wachezaji wajiweke katika nafasi ambazo wataweza kujituma kwa asilimia mia.
“Tulianza na mfumo wa 4-3-3 kisha tukabidilisha hadi 4-2-3-1 tulipocheza na Genoa. Itategemea na wachezaji wetu na pia mpinzani wetu . Venezia walikuwa wakicheza vizuri sana kwenye mashambulizi ya kushtukiza na tungejipanga vizuri kuwazuia katika hali hizo.”
Juventus na Sassuolo walikutana mara ya mwisho Mei 12 2021 kwenye mechi ya ligi.
Katika mchezo huo uliochezewa ugani Stadio Citta Del Tricolore, Juventus waliibuka washindi kwa mabao 3-1 dhidi ya Sassuolo kwenye uwanja huo ambao umebadili jina na kuitwa MAPEI stadium kwa sababu za ufadhili.
Takwimu baina ya timu hizi mbili kwenye mechi tano za mwisho za ligi walizokutana
Mechi - 5
Juventus - 3
Sassuolo - 0
Sare - 2
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway