Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 Spanish La Liga
Matchday 13
Rayo Vallecano v Real Madrid
Estadio de Vallecas
Madrid, Spain
Monday, 7 November 2022
Kick-off is at 23h00
Rayo Vallecano watakutana na Real Madrid kwenye
mchezo wa ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio de Vallecas Novemba 7.
The Red Sashes walipata ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Sevilla kwenye mechi ya ligi iliyochezwa Oktoba 29.
Vallecano hawajapoteza kwenye mechi za ligi katika mechi nne baada ya kuandikisha sare mbili na ushindi kwenye mechi mbili mfululizo.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
vile vile, The Red Sashes hawajapoteza mechi ya ligi katika michezo miwili iliyopita wakiwa nyumbani huku wakiandikisha ushindi mmoja na sare moja ugani Estadio de Vallecas.
Kwengineko, Madrid walilazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Girona FC kwenye mechi iliyopita ya ligi Oktoba 30.
The Whites hawajashindwa kwenye michezo 15 ya ligi iliyopita huku wakiandikisha sare na kushinda mechi 11.
Vile vile, Madrid hawajapoteza mechi yoyote ya ligi katika mechi saba zilizopita wakiwa ugenini baada ya kuandikisha sare moja na kushinda mechi sita mfululizo.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Tulikuwa na uwezo wa kufunga magoli zaidi. Tukio hili liliathiri mchezo wetu. Tungecheza kwa kasi zaidi, umakini na uhakika,” alisema meneja wa Madrid Carlo Ancelotti.
"Ni vigumu kucheza katika viwango vya juu hasa nyakati hizi za msimu. Mchezo ulikuwa mgumu. Kupitia juhudi zetu, mechi ilionekana kutufaidi.”
“Kikosi changu ni imara ila najua kauli hazina maana yoyote wakati huu. Tunatakiwa kudhihirisha hilo uwanjani. Tuna michezo miwili nyumbani kisha dhidi ya Rayo ugenini. Tutapambana vilivyo.”
Mechi ya mwisho ya ligi baina ya Vallecano na Madrid ilikuwa Februari 26 2022.
Madrid walipata ushindi wa 1-0 dhidi ya Vallecano katika mechi hiyo iliyochezewa Estadio de Vallecas.
Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho za ligi.
Mechi - 5
Vallecano - 1
Madrid - 4
Sare - 0
Ratiba ya mechi za La Liga mchezo wa 13.
Novemba 4 Ijumaa.
11:00pm - Girona FC v Athletic Bilbao
Novemba 5 Jumamosi
4:00pm - Getafe CF v Cadiz CF
6:15pm - Real Valladolid v Elche CF
8:30pm - Celta Vigo v CA Osasuna
11:00pm - FC Barcelona v UD Almeria
Novemba 6 Jumapili
4:00pm - Atletico Madrid v RCD Espanyol
6:15pm - Real Sociedad v Valencia CF
8:30pm - Villarreal CF v Real Mallorca
11:00pm - Real Betis v Sevilla FC
Monday, November 7
11:00pm - Rayo Vallecano v Real Madrid
Chomoka na Odds na ushinde zawadi kubwa
Siku 60 za kwanza za Chomoka Odds zimekamilika, lakini msimu wa soka ndio kwanza umeanza, bado una nafasi ya kushinda pesa taslimu na Free Bet kila wiki, na bila shaka, zawadi kubwa ya Vifaa vya Nyumbani ikiwemo Tv, home theatre, jiko na mashine ya kufulia.
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.