Trail Blazers kuwabana zaidi Nets


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 National Basketball Association (NBA) season

Regular Season

Portland Trail Blazers v Brooklyn Nets 

Moda Center
Portland, USA
Friday, 18 November 2022
06h00 
 
Portland Trail Blazers watakabana koo na Brooklyn Nets kwenye mechi ya ligi ya National Basketball Association (NBA) Novemba 18.
 
Hii itakuwa mechi ya 95 kwa Trail Blazers na Nets kukutana katika mechi ya NBA msimu wa kawaida tangu mwaka 1976.
 
The Trail Blazers wameonyesha ubabe wao kila wanapokutana na Nets kwani wamefanikiwa kushinda mara 67 ukilinganisha na 27 kwa faida ya Nets.

Damian LillardHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Mechi ya mwisho baina ya timu hizi ilikuwa mnamo Machi 19 2022 katika mechi iliyochezewa kwenye ukumbi wa nyumbani wa Nets, Barclays Center.
 
Wakiongozwa na Kevin Durant aliyeonyesha umahiri wake katika mchezo huo kwa kuchangia alama 38, Nets 128-123 dhidi ya Trail Blazers.  
 
The Trail Blazers wanashikilia nafasi ya kwanza upande wa Western Conference kwa kuandikisha ushindi wa mechi tisa na kushindwa mechi nne baada ya mechi 13.
 
Kwingineko, Nets wanakalia nafasi ya 12 ya Eastern Conference baada ya kuandikisha ushindi wa mechi sita na kushindwa mara nane katika mechi 14.

Kevin DurantHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
The Nets walipoteza 116-103 dhidi ya Los Angeles Lakers mnamo Novemba 14, huku Durant akionyeshwa kufurahishwa na juhudi za timu yake kwenye mechi hiyo.
 
“Mara nyingi tulicheza kwa kushtukiza na uchezaji wetu uliwashangaza,” alisema Durant.
 
"Walishambulia sana kwa kasi na haikuwa rahisi kuwadhibiti. Nilifurahishwa na juhudi zetu za kumiliki mchezo hasa robo ya tatu ya mechi.
 
"Tulikuwa na nafasi ya kushinda ila walishambulia zaidi yetu. Halina mjadala hilo.”
 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za NBA

Mechi - 5
Blazers -3
Nets - 2

 
Novemba 17 Alhamisi
 
03:00am - Charlotte Hornets v Indiana Pacers
03:00am - Orlando Magic v Minnesota Timberwolves
03:00am - Washington Wizards v Oklahoma City Thunder
03:30am - Atlanta Hawks v Boston Celtics
03:30am - Toronto Raptors v Miami Heat
04:00am - Milwaukee Bucks v Cleveland Cavaliers
04:00am - New Orleans Pelicans v Chicago Bulls
04:30am - Dallas Mavericks v Houston Rockets
06:00am - Denver Nuggets v New York Knicks
06:00am - Phoenix Suns v Golden State Warriors
Novemba 18 Ijumaa
 
06:00am - Portland Trail Blazers v Brooklyn Nets
06:00am - Sacramento Kings v San Antonio Spurs
06:30am - Los Angeles Clippers v Detroit Pistons
 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 
 
 

Published: 11/16/2022