Madrid wahofia Cadiz


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 Spanish La Liga 

Matchday 14

Real Madrid v Cadiz CF 

Estadio Santiago Bernabéu
Madrid, Spain 
Thursday, 10 November 2022
Kick-off is at 22h30  

Real Madrid watamenyana na Cadiz CF kwenye mechi ya ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio Santiago Bernabéu Novemba 10.
 
The Whites walitoka sare ya 1-1 nyumbani dhidi Girona FC kwenye mchezo wa ligi uliopita Oktoba 30 na wanatarajiwa kucheza ugenini dhidi ya Rayo Vallecano Novemba 7.
 
Hadi kufikia mchezo huo, Madrid hawajapoteza mechi yoyote ya ligi katika michezo 15 waliocheza huku wakishinda mara 11 na kupata sare 4.  

Eden HazardHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Vile vile, The Whites hawajapoteza mechi yoyote kati ya mechi 10 walizocheza wakiwa nyumbani huku wakiandikisha ushindi ushindi mara saba na sare tatu ugani Estadio Santiago Bernabeu.
 
Kwingineko, Cadiz walilazimisha sare ya 0-0 dhidi ya Getafe CF ugenini kwenye mechi iliyopita ya Novemba 5
 
Cadiz hawajapoteza mechi katika michezo miwili ya mwisho ya ligi baada ya kuandikisha ushindi mmoja na sare moja.

Hata hivyo, Cadiz hawajashinda mechi yoyote katika mechi tatu za mwisho za ligi wakiwa ugenini baada ya kuandikisha sare mbili na kushindwa mechi moja.

Cala
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Tulistahili matokeo bora zaidi. Kwa maoni yangu tulionyesha mchezo mzuri kipindi cha pili. Haikuwa rahisi kucheza dhidi ya Getafe hasa kwa sababu walikuwa nyumbani,” alisema mchezji w Cadiz Lebrija Juan Cala.
 
"Tulitengeneza nafasi pia kwa upande wetu. Tulitakiwa kutumia nafasi zetu vizuri zaidi Getafe walipobaki na wachezaji kumi. Hatukuweza kufanya hivyo na kisha baadaye tukampoteza Luis Harnandez.
 
"Kama hatuwezi kushinda mechi ndani ya dakika tisini, basi tusipoteze katika dakika za nyongeza. Mchezaji wetu Luis alipata kadi nyekundu ambaye hatoweza kucheza dhidi ya Madrid Alhamisi.”
 
Mechi ya mwisho ya ligi baina ya timu hizi ilikuwa Mei 15 2022.
 
Mechi hiyo iliishia sare ya 1-1 na ilichezewa ugani Estadio Nuevo Mirandilla ambao ulifahamika kama Estadio Ramón de Carranza ulipozunduliwa mwaka 1955.

takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho za ligi.

Mechi - 5 
Madrid - 2
Cadiz - 1
Sare - 2

Ratiba ya mechi za La Liga mchezo wa 14.


Novemba 8 Jumanne
 
9:00pm - Elche CF v Girona FC
 
10:00pm - Athletic Bilbao v Real Valladolid
 
11:30pm - CA Osasuna v FC Barcelona 
 
Novemba 9 Jumatano
 
9:00pm - UD Almeria v Getafe CF 
 
9:00pm - Sevilla FC v Real Sociedad 
 
10:00pm - RCD Espanyol v Villarreal CF 
 
11:30pm - Real Mallorca v Atletico Madrid
 
Novemba 10 Alhamisi
 
9:00pm - Rayo Vallecano v Celta Vigo
 
10:00pm- Valencia CF v Real Betis 
 
11:30pm - Real Madrid v Cadiz CF
 

Chomoka na Odds na ushinde zawadi kubwa​

Siku 60 za kwanza za Chomoka Odds zimekamilika, lakini msimu wa soka ndio kwanza umeanza, bado una nafasi ya kushinda pesa taslimu na Free Bet kila wiki, na bila shaka, zawadi kubwa ya Vifaa vya Nyumbani ikiwemo Tv, home theatre, jiko na mashine ya kufulia.Chomoka na Odds


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 
 

Published: 11/09/2022