Lakers kumenyana na Kings, NBA


Hakimiliki ya picha: Getty Images
 

2022/23 National Basketball Association (NBA) season

Regular Season

Los Angeles Lakers v Sacramento Kings 

Crypto.com Arena
Los Angeles, USA
Sunday, 12 November 2022
22h30  
 
Los Angeles Lakers na Sacramento Kings watakabiliana vikali kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) Novemba 12.
 
Hii itakuwa ni mara ya 442 baina ya timu hizi kukutana kwenye mchezo wa ligi ya NBA tangu mwaka 1948.
 
The Lakers wameshinda mechi 280 kati ya 442 walizocheza na Kings, huku Kings ikifanikiwa kushinda mechi 161.

De Aaron Fox
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Hata hivyo, Kings waliibuka na ushindi katika mechi ya mwisho waliyocheza na Lakers Oktoba 15 2022 ukumbini Golden One Center.
 
DeAaron Fox alifunga vikapu 19 huku Keegan Murray akiongeza vikapu vitano Kings walipoibuka na ushindi wa 133-86 dhidi ya Lakers.
 
The Lakers wanachukua nafasi ya 14 Western Conference baada ya kuandikisha ushindi kwenye mechi mbili na kushindwa mechi nane baada ya michezo kumi.
 
Kings wapo katika nafasi ya 13 jedwali la Western Conference baada ya ushindi wa mechi tatu na kushindwa mechi sita baada ya mechi tisa

Novemba 8, Utah Jazz waliishinda Lakers 139-116 ambao ni ushindi wao wa pili dhidi ya Los Angeles ndani ya siku nne.
 
Kocha wa Lakers Darvin Ham alisema ni jukumu la timu yake kutumia vipaji walivyonavyo na mbinu kushinda mechi.
 
“Tunahitaji kuongeza juhudi na kucheza kwa umakini. Hatujaweza kucheza kulingana na uwezo wetu. Tunarudia makosa yale yale,” Ham alisema.
 
"Hututatumia fedha zaidi kwenye timu hii. Tayari tuna wachezaji watatu wa hadhi ya juu ambao tulitumia fedha nyingi kwa sababu yao. Hatuna fedha zaidi.”
 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za NBA

Mechi - 5
Lakers - 3
Kings - 2
 

Majira ya Afrika ya Kati 

Novemba 11 Ijumaa
03:00am - Washington Wizards v Dallas Mavericks
03:30am - Atlanta Hawks v Philadelphia 76ers
03:30am - Miami Heat v Charlotte Hornets
04:00am - New Orleans Pelicans v Portland Trail Blazers
 
Novemba 12 Jumamosi

03:00am - Boston Celtics v Denver Nuggets

03:00am - Orlando Magic v Phoenix Suns
03:30am - New York Knicks v Detroit Pistons
04:00am - Oklahoma City Thunder v Toronto Raptors
04:00am - San Antonio Spurs v Milwaukee Bucks

05:30am - Memphis Grizzlies v Minnesota Timberwolves
06:00am - Golden State Warriors v Cleveland Cavaliers

06:30am - Los Angeles Lakers v Sacramento Kings
 
12:00pm - Los Angeles Clippers v Brooklyn Nets
 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 
 
 

Published: 11/11/2022