Afrika inawakilishwa vyema katika Kombe la Dunia, pamoja na kukosekana kwa baadhi ya mataifa makubwa. Licha ya juhudi za kubwa zilizofanywa na timu za Kiafrika hapo awali, rekodi za bara la Afrika kwenye michuano hiyo bado si nzuri. Je, tutaona timu ya Afrika ikitinga Nusu Fainali?
Nchi za Afrika zinazowakilisha kwenye Cup In Qatar
- Ghana
- Morocco
- Senegal
- Tunisia
- Cameroon
Hakuna uhaba wa vipaji vya soka katika nchi zote tano zilizofuzu, Ghana inarejea Kombe la Dunia baada ya kukosa michuano ya 2018 nchini Urusi, na itakuwa na nafasi ya kufanya kitu kwenye michuano bora Duniani.
Morocco ilikuwa moja ya timu mbili ambazo hazijafungwa, wana kikosi kizuri chenye wachezaji bora. Morocco inaonekana kama timu hatari zaidi Afrika, kama ilivyokuwa kabla ya Urusi 2018.
Senegal ndio timu nyingine ya Afrika ambayo haijafungwa katika mechi za kufuzu, ikifuatia ushindi dhidi ya Bolivia na sare ya 1-1 dhidi ya Iran. Mabingwa wa sasa wa Afrika wakiwa na nyota ya Sadio Mané, wana nafasi nzuri ya kusonga mbele kutoka Kundi A.
Tunisia ina utamaduni kwa kusumbua timu kubwa, na bila shaka watahitaji kuwa na utulivu katika uwanja.
Indomitable Lions ya Cameroon itashiriki michuano yao ya nane kwenye Kombe la Dunia – inashikilia rekodi ya kushiriki mara nyingi zaidi kwa Afrika. Watakuwa na nia ya kufanya jambo, miaka 32 baada ya kuishtua Argentina kwenye michuano ya 1990.
Je, timu yoyote ya Afrika itatinga Nusu Fainali?
Katika kutinga robo fainali katika Kombe la Dunia la 1990, Cameroon iliweka rekodi ambayo bado haijavunjwa. Senegal na Ghana pia zilifika hatua ya nane bora, mwaka 2002 na 2010. Timu zote zina uzoefu wa michuano ya Kombe la Dunia.
Shiriki kwenye promosheni ya Betway, Cup In Qatar
Dunia inakusanyika kufuatilia michuano bora zaidi ya soka. Endelea kufuatlia promosheni yetu ya Cup in Qatar, kuanzia tarehe 20 Novemba hadi 18 Desemba, ambapo mamilioni ya zawadi yatatolewa.
Shinda na Kombe la Dunia
Dunia imekusanyika kushuhudia michuano bora zaidi ya soka. Ingia kwenye Droo yetu ya Kila Siku ya Mechi ujishindie TSh 500,000 na ufurahie Free Predictor.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.