Team ya Heat na Celtics kufufua uhasama


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

Miami Heat v Boston Celtics

2021-22 NBA Regular Season

Friday 5 November 2021
FTX Arena, Miami, Florida
Tip-off at 02:30
 
Timu ya Miami Heat na Boston Celtics zitakabana koo katika mechi ya ligi ya NBA Ijumaa hii asubuhi Novemba 5 2021 katika uwanja wa FTX Arena Miami Florida. Mechi hiyo itarajiwa kuanza saa 8:30 asubuhi majira ya Afrika ya kati.
 
The Heat wameanza msimu 2021/22 kwa kishindo ikiwa ni pamoja na kuishinda timu ya Charlotte Hornets kwa alama 114-99 wikendi iliyopita. Katika mechi hiyo, Jimmy Butler aliipatia The Heat alama 32 huku Bam Adebayo akiipatia timu hiyo alama 26. Katika mechi hiyo  uwanjani FTX, bango kwa heshima ya Adebayo lilizinduliwa baada ya kushinda medali ya dhahabu katika mashindano ya olimpiki.  
 
Jayson Tatum
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
“Ushirikiano baina ya wachezaji wa timu hii uko vizuri sana. Wachezaji wetu wana tajriba nyingi na wanauelewa mchezo vizuri. Tunanufaika sana kutokana na ujuzi huu katika ligi.”
 
Kwa upande mwingine, ukilinganisha na The Heat, Celtics hawajawa na mwanzo mzuri ingawaje wanajivunia mchezaji nyota kwa jina la Jayson Tatum. Licha ya kuonyesha mchezo mzuri, Tatum anasema bado nafasi ipo ya kuimarika zaidi.
 
“Nataka kuimarika zaidi. Malengo yangu ni kutoka kwa wachezaji kumi au kumi na tano bora hadi kwa wachezaji tano bora wa ligi nzima. Nataka wachezaji walioko karibu yangu kuwa bora kwa sababu ya bidii yangu,” alisema mchezaji huyo ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Marekani kilichoshinda medali katika mashindano ya olimpki.
 
Jimmy Butler
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
“I plan to take what I learned [at the Games] into [this] season. I spent half of my summer playing against the best players in the world. I played against KD in practice, Book [Devin Booker] and all those guys. I feel like I got an early start to the season and will take it to the next step.” 
 
In head-to-head stats, the Heat and the Celtics have met in 126 Regular Season games since 1988-89, with Boston claiming 76 wins compared to 50 for Miami. The teams’ last Regular Season meeting was in May 2021, with the Heat winning 129-121 away thanks to 22 points apiece from Bam Adebayo and Duncan Robinson.
 

Miami Heat v Boston Celtics – Head-to-head, Regular Season

Mechi: 126
Heat: 50
Celtics: 76
 
 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 11/04/2021