Mbio za pikipiki za MotoGP Algarve kung’oa nanga


Hakimiliki ya picha: Getty Images
 

2021 MotoGP World Championship Season

Algarve MotoGP

Round 17
Algarve International Circuit
Portimao, Portugal 
Sunday, 7 November 2021

Mbio za pikipiki za 2021 zitang’oa nanga kule eneo la Algarve kusini mwa nchi ya Ureno, Portimao Novemba 7.  The 2021 Algarve MotoGP will take place in a city in the Algarve region of southern Portugal, Portimao on November 7.
 
Mbio hizo zitakazo fanyika katika mkondo wa kimataifa wa Algarve zitakuwa za awamu ya 17 katika mbio za piki piki za mwaka huu. This will be the 17th round of this year's Championship and it is scheduled to be held at the Algarve International Circuit.
 
Mkondo huu wa Algarve ulianzishwa katika mashindano ya mwaka huu wa 2021 ya mbio za pikipiki kama mojawapo ya njia ya kupambana na janga la Korona. bio The Algarve MotoGP was introduced during the current 2021 Grand Prix motorcycle racing season as a response to the COVID-19 pandemic.
 
Fabio Quartararo
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
Mbio za pikipiki za hivi maajuzi kutokea za mwaka huu ilikuwa ni mbio za Emilia Romagna zilizofanyika mnamo tarehe 24 Oktoba.
 
Marc Marquez wa Honda alishinda mbio hizo akifuatiwa na mwendeshaji mwenza Pol Espargaro huku Enea Bastianini wa Ducati akimaliza wa tatu mtawalia.The race was won by Marc Marquez of Honda and he was followed by his teammate Pol Espargaro and Ducati's Enea Bastianini, who finished second and third respectively.
 
Fabio Quartararo wa Yamaha ndiye kiongozi wa jedwali kwa nasafi kubwa ya alama 267 na ametawazwa kuwa mshindi wa dunia wa mbio za pikipiki za 2021. rider Fabio Quartararo is sitting at the top of the Riders' standings having accumulated an unassailable 267 points and he has been crowned 2021 MotoGP world champion.
 
Katika nafasi ya pili na tatu ni Francesco Bagnaia wa Ducati akiwa na alama 202 na Joan Mir wa Suzuki akiwa na alama 175 mtawalia. Wawili hao wanapigania nafasi ya pili. 
 
Marc Marquez
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
"Jambo la maana ni Honda kuwa na pikipiki mbili angalau katika nafasi za kwanza tatu,” alisema Espargaro ambaye kwa ujumla yupo nafasi ya nane baada ya mkondo wa Emilia Romagna.
 
"Msimu huu umekuwa mzuri kwetu licha ya changamoto nyingi. Mwaka jana pia changamoto zilikuwepo kwa Respol Honda. Ni faraja kwangu kupata matokeo mazuri hata baada ya kukumbwa na changamoto hizi.
 
"Muda wote nimekuwa nikimaliza nafasi ya tatu. Kwa sasa, haya ndiyo matokeo mazuri kwangu kuwahi kutokea katika uendashaji wa pikipiki. Binafsi najivunia matokeo na nafurahi kwamba Honda inafanikiwa pia,”
 
"Nyuso za meneja wa kiufundi wa Yokohama bwana Takeo na mkurugenzi wa HRC ya Honda Tetsuhiro Kuwata zilionekana kung’aa kwa furaha. Nilifurahi sana kuona jinsi walivyofurahia.”
 
Kwa ujumla, Ducati wanaongoza katika jedwali, Yamaha ni ya pili huku nafasi ya tatu ikitwaliwa na Suzuki. 

Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni sokamotorsportmpira wa kikapurugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway. 
 

Published: 11/04/2021