Atletico na Real kwenye debi ya El Derbi Madrileno


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 Spanish La Liga

Matchday 35

Atletico Madrid v Real Madrid 

Estadio Wanda Metropolitano 
Madrid, Spain 
Sunday, 8 May 2022
Kick-off is at 22h00  
 
Atletico Madrid watawaalika mahasidi wao wa jadi Real Madrid ugani Estadio Wanda Metropolitano katika mechi ya ligi mnamo Mei 8.
 
The Mattress Makers, kama wanavyojulikana Atletico walishindwa 2-0 katika mechi yao ya ligi ya  mwisho ugenini dhidi ya Athletic Bilbao iliyochezwa Aprili 30.
 
Kwa sasa, Atletico hawajashinda mechi yoyote ya ligi katika mechi mbili zilizopita ikiwa wameandikisha sare moja na kushindwa katika mechi moja.

Héctor Herrera
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Hata hivyo, Atletico hawajashindwa katika mechi yoyote kati ya mechi tano za ligi zilizopita wakiwa nyumbani huku wakiandikisha ushindi mara nne mfululizo na sare moja.
 
"Nawashukuru Real Madrid kwa kushinda taji la ligi lakini tunawaheshimu mashabiki wetu sana,” alisema mlinzi wa Atletico Jose Maria Gimenez baada ya kupoteza mechi dhidi ya Bilbao.  
 
"Hatuna uhasama wowote tofauti na kukabiliana na mpinzani wet utu. Nawapongeza sana kwa matokeo hayo. Tutazidi kupambana. Tutatimiza ndoto zetu kwa njia yoyote.
 
"Itatubidi tushinde mechi zote zilizobaki kwa mbinu zozote halali. Ni mechi ngumu kama mechi nyingine za La liga lakini tutapambana kadri ya uwezo wetu kushinda.”

Marcelo
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Kwingineko, Real Madrid wakiwa nyumbani walipata ushindi wa 4-0 dhidi ya RCD Espanyol katika mechi ya ligi iliyopita, ya Aprili 30.

Real hawajashindwa katika mechi tano zilizopita za ligi huku wakiandikisha ushindi kwenye mechi zote tano.
 
Vile vile, Real hawajashindwa katika mechi sita za mwisho ugenini za ligi, wakishinda mechi tano mfululizo na kupata sare moja.
 
Mchezo wa mwisho wa ligi baina ya Atletico na Real ulikuwa Disemba 12 2021.

Real waliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Atletico katika mechi hiyo iliyochezewa ugani Estadio Santiago Bernabeu. 
 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho za ligi

Mechi - 5
Atletico - 0
Real - 3
Sare - 2
 

Ratiba ya La Liga mchezo wa 35

 
Mei 6 Ijumaa 
 
10:00pm- UD Levante v Real Sociedad 

 
Mei 7 Jumamosi
 
3:00pm- Real Mallorca v Granada CF 
 
5:15pm- Athletic Bilbao v Valencia CF 
 
7:30pm- Celta Vigo v Deportvo Alaves 
 
7:30pm- Cadiz CF v Elche CF
 
10:00pm- Real Betis v FC Barcelona 

 
Mei 8 Jumapili
 
3:00pm- Getafe CF v Rayo Vallecano
 
5:15pm- Villarreal CF v Sevilla FC 
 
7:30pm- RCD Espanyol v CA Osasuna
 
10:00pm- Atletico Madrid v Real Madrid


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.

Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 05/06/2022