NBA: Milwaukee Bucks v Philadelphia 76ers 


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 National Basketball Association (NBA) season

Regular Season

Milwaukee Bucks v Philadelphia 76ers 

Fiserv Forum
Milwaukee, Wisconsin, USA
Sunday, 5 March 2023 
03h30  
 
Milwaukee Bucks itamenyana na Philadelphia 76ers katika mechi ya ligi ya mpira wa kikapu National Basketball Association (NBA) mnamo Machi 5.
 
Takwimu baina ya timu hizi
 
Hii itakuwa ni mara ya 222 timu hizi kukutana kwenye mechi za ligi ya NBA tangu mwaka 1968 ambao ni mwaka the Bucks iliasisiwa.
 
The Bucks wameonyesha ubabe wao kwenye mechi baina ya timu hizi kwani wamefanikiwa kushinda mara 117 ukilinganisha na mara 104 kwa faida ya 76ers' katika mechi 221 baina yao.. 
 
Mechi ya mwisho baina ya timu hizi.  
 
The 76ers waliibuka na ushindi wa 110-102 dhidi ya the Bucks huku Georges Niang akiandikisha alama 17 kwa faida ya 76ers kwenye mechi hiyo ya tarehe 10 Novemba 2022.
 
Mechi hiyo iliandaliwa katika ukumbi wa Wells Fargo Center.
 
Athari za matokeo ya mechi hiyo.
 
The Bucks wanapigiwa upato kuibuka na taji la michezo ya Eastern Conference kwani wapo kileleni baada ya kushinda mechi 43 na kupoteza mechi 17.
 
Kwa upande mwingine, the 76ers vile vile wapo katika nafasi nzuri ya kushinda taji hilo kwa sababu wanashika nafasi ya pili kwenye michezo hiyo ya Eastern Conference baada ya kuandikisha ushindi katika mechi 39 na kupoteza mechi 21
 
Wachezaji muhimu
 
Giannis Antetokounmpo atakuwa mchezaji muhimu sana kwa upande wa Bucks baada ya kuonyesha mchezo mzuri dhidi ya 76ers Novemba iliyopita.
 
The 76ers wataweka matumaini yao kwa Joel Embiid ambaye alionyesha weledi wake katika mechi baina ya timu hizo walipokutana mara ya mwisho.  


Giannis Antetokounmpo
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
Nukuu.
 
“Inashangaza kwa sababu ni tatizo lile lile ila analikimu vizuri,” kocha mkuu wa wa 76ers Doc Rivers alidokeza kuhusu muda mchache kwenye baadhi ya mechi kwa mchezaji De'Anthony Melton.
 
"Nahisi tumefanya vizuri kwenye mechi ambazo tumeweza kumpa mapumziko lakini sidhani ni jambo zuri kwake yeye kama mchezaji.
 
“Tulizungumzia jambo hilo wakati wa mapumziko. Kuna utata kwa sababu anahitaji kupumzika lakini pia anahitaji mwendelezo kwa kushiriki mechi mfululizo. Ni jambo linalohitaji kutatuliwa hasa wakati wa mechi kama hizi.”

Ratiba ya mechi za NBA – tarehe 4 na 5 Machi.

 
Machi 4 Jumamosi

03:00am - Charlotte Hornets v Orlando Magic
03:30am - Atlanta Hawks v Portland Trail Blazers
03:30am - Boston Celtics v Brooklyn Nets
04:00am - Chicago Bulls v Phoenix Suns
04:00am - Miami Heat v New York Knicks
04:00am - Oklahoma City Thunder v Utah Jazz
06:00am - Denver Nuggets v Memphis Grizzlies
06:00am - Golden State Warriors v New Orleans Pelicans
06:00am - Sacramento Kings v Los Angeles Clippers
06:30am - Los Angeles Lakers v Minnesota Timberwolves

Machi 5 Jumapili.

01:00 - Washington Wizards v Toronto Raptors
03:30am - Cleveland Cavaliers v Detroit Pistons
04:00am - Miami Heat v Atlanta Hawks
04:00am - San Antonio Spurs v Houston Rockets
04:30am - Milwaukee Bucks v Philadelphia 76ers
06:00am - Sacramento Kings v Minnesota Timberwolves
09:00pm - Dallas Mavericks v Phoenix Suns
 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 03/02/2023